figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #3,481
Bendera nyingine imewekwa Zmeiny Island wengine wanaita Snake Island. Hapa Mrusi hana chake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi silaha zinamnyima usingizi saana Mrusia zinatwanga usiku kucha na hazikosei target.Nimetokea kuipenda HIMARS. Silaha ya kisasa zaidi. Urusi wanahanya
View attachment 2280930View attachment 2280931View attachment 2280932View attachment 2280933View attachment 2280934View attachment 2280935View attachment 2280936View attachment 2280937
Ukraine wanatumia sana usiku kuwapiga na Himars sababu Urusi usiku hutumia sana Missiles. Hivyo wanakuwa hawana hofu ya counter batteryMishindo 12 ya HIMARS, yaani Urusi wanakoma. Napenda hii Style ya Kuwapiga Urusi Usiku. Huu ndo uzuri wa Teknolojia..
View attachment 2280555
Wenyewe wanaona ndo accomplishment yao..Yaani Sikutegemea Urusi Inyanyaswe hivi. Walisema Ukraine itatekwa kwa siku 3, lakini ndani ya miezi minne wameambulia kuteka mkoa mmoja ndani ya Mikoa 28. Urusi wanakwama wapi?
View attachment 2280556
Hazipaswi kosea maana zenyewe ni gmlrs. Hapo US ampe UA ammunation za kutosha ma intel zakutosha ili crimea bridge ibomoleweHizi silaha zinamnyima usingizi saana Mrusia zinatwanga usiku kucha na hazikosei target.
Afu kinawaka usiku tu, mchana Kama sio wao wa Ukraine.
Urusi anazitaka kwa gharama yeyote sema Ukraine wananmfichia kete Yani wakipiga Leo hapa wanahamisha mzigo Hadi zones nyingine. Usiku wanatwanga Tena.
Mrusia atakubali tu!
Hii ni Muhimu. Lile daraja lina Urefu wa 18km. As long as Georgia, Uturuki wanatuunga Mkono. Tunaweza libomoa kutokea angle yoyote. Ndo maana juzi walikuwa wanafanya mazoezi ya kulinda daraja kwa kutumia Moshi, mwisho wa siku wakagongana wenyewe.Hazipaswi kosea maana zenyewe ni gmlrs. Hapo US ampe UA ammunation za kutosha ma intel zakutosha ili crimea bridge ibomolewe