figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #3,501
HIMARS zinatumia satellite kujua zipige wapi, sio macho ya binadamu. Wewe unaset google map vizuri then makombora yanatua. So yenyewe haijalishi mchana au Usiku.Ukraine wanatumia sana usiku kuwapiga na Himars sababu Urusi usiku hutumia sana Missiles. Hivyo wanakuwa hawana hofu ya counter battery
Hapana, sio sababu hiyo, bali Vikwazo vimeanza kuumiza. Hapa China ndo inafaidika kwani inaikopesha Urusi. Madeni yameanza kuwa makubwa.Wenyewe wanaona ndo accomplishment yao..
Hujaona wamepunguza bajeti kwa karibi trilioni 60
Mkuu tofauti ya hizi na zile za mwanzoni ni ipi mbona pia zimaletwa chache hivo vipi zitaweza kufanya kazi kwa ufanisi hadi kukomboa Donabos na Crimea kwa huu uchache wake?NASAMS air defence system
View attachment 2281294View attachment 2281295View attachment 2281296View attachment 2281297View attachment 2281298View attachment 2281299View attachment 2281300View attachment 2281301View attachment 2281302View attachment 2281303View attachment 2281304View attachment 2281305View attachment 2281306View attachment 2281307View attachment 2281308View attachment 2281309View attachment 2281310View attachment 2281311View attachment 2281312View attachment 2281313
Izo ni special Advanced rocket launcher zinaletwa kwa kadri uhitaji unavyojitokeza jkiuliza bei ya system moja utakimbia n mzee so haziwezi kuletwa ovyo ovyo izo zinaletwa kwa kazi maalumu tuMkuu tofauti ya hizi na zile za mwanzoni ni ipi mbona pia zimaketwa chache hivo vipi zitaweza kufanya kazi kwa ufanisi hadi kukomboa Donabos ma Crimea kwa huu uchache wake?
Mm pia nimezikubaliNimetokea kuipenda HIMARS. Silaha ya kisasa zaidi. Urusi wanahanya
View attachment 2280930View attachment 2280931View attachment 2280932View attachment 2280933View attachment 2280934View attachment 2280935View attachment 2280936View attachment 2280937
Sijaelewa Mkuu. Za mwanzo ni zipi? Mbona sizijui?Mkuu tofauti ya hizi na zile za mwanzoni ni ipi mbona pia zimaletwa chache hivo vipi zitaweza kufanya kazi kwa ufanisi hadi kukomboa Donabos na Crimea kwa huu uchache wake?
Anaongekea m777 Howtizer na izi HIMARS nadhani ameshindwa kujua kuwa iyo ni mifumo miwili ya kurusha mambo ambayo iko tofauti japo yote kazi yake ni kusafirisha rocket to targeted area!!Sijaelewa Mkuu. Za mwanzo ni zipi? Mbona sizijui?
NASSAMS ni air defence system ama ni surface to air missles na HIMARS ni advanced rocket launcher system ama ni ni surface to surface missles, lakin pia nadhani nadhani izo ndo tofauti zake kuuTofauti kati ya HIMARS na NASAMS.
NASAMS ni mfumo wa Ulinzi wa anga. Yaani inazuia mashambulizi ya anga kama Makombora, Ndege za Kivita, drone na kila shambulizi la anga. Na hizi HIMARS, zenyewe ni mfumo wa Makombora rockets. Yaani inarusha Makombora. Mfano kuna Vikosi Bagamoyo, HIMARS inalipua ikiwa Dar. Tena bila kukosea. HIMARS inanyong'osha maadui kwa kuharibu mifumo yao ndo Askari wa miguu wanaingia na Vifaru. Penye NASAMS ndege haikatizi wala Missile wala drone. Inadondoshwa.Tofauti kati ya HIMARS na NASAMS.
Ila kwa uhalisia pale Snake Island hakuna atayeweka makazi ya kudumu, pale pa moto sana. Na pia Urusi ana faida sababu ya submarines zake zaweza tumika angamiza lile eneoHii ni Muhimu. Lile daraja lina Urefu wa 18km. As long as Georgia, Uturuki wanatuunga Mkono. Tunaweza libomoa kutokea angle yoyote. Ndo maana juzi walikuwa wanafanya mazoezi ya kulinda daraja kwa kutumia Moshi, mwisho wa siku wakagongana wenyewe.
Urusi walichokosea ni kuachia kis8wa cha Snake. Sababu sasa hivi Ukraine itatawala Bahari yote ya Black na Azov.
Just subiri uone itakavyokuwa. Urusi wameshajua Daraja linakwenda na maji kabla ya Kuirudisha Crimea.
View attachment 2281662View attachment 2281663View attachment 2281664View attachment 2281665
Hivi wajua maana na air defence system?Mkuu tofauti ya hizi na zile za mwanzoni ni ipi mbona pia zimaletwa chache hivo vipi zitaweza kufanya kazi kwa ufanisi hadi kukomboa Donabos na Crimea kwa huu uchache wake?
Hapana si Surface to surface....NASSAMS ni air defence system ama ni surface to air missles na HIMARS ni advanced rocket launcher system ama ni ni surface to surface missles, lakin pia nadhani nadhani izo ndo tofauti zake kuu
Nashangaa maana Ukraine anachezea kichapo heavy [emoji1]Endeleeni kujifariji
Nashangaa maana Ukraine anachezea kichapo heavy [emoji1]
Ila vita iishe bongo mfumuko wa bei urudi kawaida
Ova