Hii ni Muhimu. Lile daraja lina Urefu wa 18km. As long as Georgia, Uturuki wanatuunga Mkono. Tunaweza libomoa kutokea angle yoyote. Ndo maana juzi walikuwa wanafanya mazoezi ya kulinda daraja kwa kutumia Moshi, mwisho wa siku wakagongana wenyewe.
Urusi walichokosea ni kuachia kis8wa cha Snake. Sababu sasa hivi Ukraine itatawala Bahari yote ya Black na Azov.
Just subiri uone itakavyokuwa. Urusi wameshajua Daraja linakwenda na maji kabla ya Kuirudisha Crimea.
View attachment 2281662View attachment 2281663View attachment 2281664View attachment 2281665