Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ukraine wanatumia sana usiku kuwapiga na Himars sababu Urusi usiku hutumia sana Missiles. Hivyo wanakuwa hawana hofu ya counter battery
HIMARS zinatumia satellite kujua zipige wapi, sio macho ya binadamu. Wewe unaset google map vizuri then makombora yanatua. So yenyewe haijalishi mchana au Usiku.
 
Wenyewe wanaona ndo accomplishment yao..

Hujaona wamepunguza bajeti kwa karibi trilioni 60
Hapana, sio sababu hiyo, bali Vikwazo vimeanza kuumiza. Hapa China ndo inafaidika kwani inaikopesha Urusi. Madeni yameanza kuwa makubwa.

Wawekezaji na Wafanyabiashara wa Urusi hawauzi nje, hivyo Uzalishaji umepungua na ajira hakuna. Bila ajira kuna nini tena? Ndo maana Makampuni mengi ya nje yamefunga na kuondoka. Hela yao imeshuka thamani pia.

Wamepunguza bajeti ikafanye mambo mengine.
 
Azov wetu, bado wanapambana kufa kupona
 
HIMARS yenyewe inatafuta Maghala ya Silaha. Haina shida na kulipua vifaru. Kulipua Vifaru amemuachia Javelin, ambayo ndo anti-tank weapon.
 
Mkuu tofauti ya hizi na zile za mwanzoni ni ipi mbona pia zimaketwa chache hivo vipi zitaweza kufanya kazi kwa ufanisi hadi kukomboa Donabos ma Crimea kwa huu uchache wake?
Izo ni special Advanced rocket launcher zinaletwa kwa kadri uhitaji unavyojitokeza jkiuliza bei ya system moja utakimbia n mzee so haziwezi kuletwa ovyo ovyo izo zinaletwa kwa kazi maalumu tu
 
Mkuu tofauti ya hizi na zile za mwanzoni ni ipi mbona pia zimaletwa chache hivo vipi zitaweza kufanya kazi kwa ufanisi hadi kukomboa Donabos na Crimea kwa huu uchache wake?
Sijaelewa Mkuu. Za mwanzo ni zipi? Mbona sizijui?
 
Sijaelewa Mkuu. Za mwanzo ni zipi? Mbona sizijui?
Anaongekea m777 Howtizer na izi HIMARS nadhani ameshindwa kujua kuwa iyo ni mifumo miwili ya kurusha mambo ambayo iko tofauti japo yote kazi yake ni kusafirisha rocket to targeted area!!
 
Tofauti kati ya HIMARS na NASAMS.
NASSAMS ni air defence system ama ni surface to air missles na HIMARS ni advanced rocket launcher system ama ni ni surface to surface missles, lakin pia nadhani nadhani izo ndo tofauti zake kuu
 
Tofauti kati ya HIMARS na NASAMS.
NASAMS ni mfumo wa Ulinzi wa anga. Yaani inazuia mashambulizi ya anga kama Makombora, Ndege za Kivita, drone na kila shambulizi la anga. Na hizi HIMARS, zenyewe ni mfumo wa Makombora rockets. Yaani inarusha Makombora. Mfano kuna Vikosi Bagamoyo, HIMARS inalipua ikiwa Dar. Tena bila kukosea. HIMARS inanyong'osha maadui kwa kuharibu mifumo yao ndo Askari wa miguu wanaingia na Vifaru. Penye NASAMS ndege haikatizi wala Missile wala drone. Inadondoshwa.
 
Ila NASAMS ni cha mtoto kwa Iron Dome za Israel. Ndo maana Ukraine inataka inunue mbili kwaajili ya Ulinzi wa Kyiv dhidi ya Makombora ya Urusi. Yaani kombora linaharibiwa kabla halijatua.
_118496404_iron_dome_v2_640-2x-nc.png
 
Hii ni Muhimu. Lile daraja lina Urefu wa 18km. As long as Georgia, Uturuki wanatuunga Mkono. Tunaweza libomoa kutokea angle yoyote. Ndo maana juzi walikuwa wanafanya mazoezi ya kulinda daraja kwa kutumia Moshi, mwisho wa siku wakagongana wenyewe.

Urusi walichokosea ni kuachia kis8wa cha Snake. Sababu sasa hivi Ukraine itatawala Bahari yote ya Black na Azov.

Just subiri uone itakavyokuwa. Urusi wameshajua Daraja linakwenda na maji kabla ya Kuirudisha Crimea.
View attachment 2281662View attachment 2281663View attachment 2281664View attachment 2281665
Ila kwa uhalisia pale Snake Island hakuna atayeweka makazi ya kudumu, pale pa moto sana. Na pia Urusi ana faida sababu ya submarines zake zaweza tumika angamiza lile eneo
 
Mkuu tofauti ya hizi na zile za mwanzoni ni ipi mbona pia zimaletwa chache hivo vipi zitaweza kufanya kazi kwa ufanisi hadi kukomboa Donabos na Crimea kwa huu uchache wake?
Hivi wajua maana na air defence system?
 
NASSAMS ni air defence system ama ni surface to air missles na HIMARS ni advanced rocket launcher system ama ni ni surface to surface missles, lakin pia nadhani nadhani izo ndo tofauti zake kuu
Hapana si Surface to surface....

Himars ni High Mobility Artillery Rocket System
Yenyewe inapiga from ground

Surface to Surface hufanywa na ndege
 
Hii mada umeianzisha mwezi march, na hao umewapost watakua washakufa kitambo, pamoja na mamluki. Poleni sana pro US/NATO
 
Back
Top Bottom