Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Shukrn mkuu
 
Zilizo battle field ni 3 pekee sasa yeye kalipua ipi wakati zote 3 zinafanya kazi
 
Pia wanasema hizi kutokana na mobility yake ni ngumu sana kuzilipua...
 
Sauti imevuja. Warusi wanadai hata mati zikirudishwa haziokelewi kwa Heshima, askari ukirudi nyuma kuretreat unapigwa risasi. Wanasema hakuna uwezekano wa Urusi kushinda hii vita
Your browser is not able to display this video.
 
Azov wakimkamata Mrusi
Your browser is not able to display this video.
 
Hapo ni SAwa na kusema zanzbar inapigana na bara
 
Kwenye Vita mtu unajifunza mengi. Kumbe haya majani yanaweza tumika kama mtego kwa adui. Yakikunasa ukayavuta ni kama unavuta fuse ya bomu. Hivyo unapotembea kuwa makini jani lisikuguse sababu linashika kwenye nguo kama ndoano. Hii TIP itawasaidia wanajeshi wetu wanaoenda kupambana Congo.

Vilevile unaweza kumtega adui kwa haya majani

Haya ndo madhara ya kufuata nyayo za adui, anaacha mitego njiani
Your browser is not able to display this video.
 
Askari unakufa kwa ubishi,ujuaji na ubabe wa viongozi wawili wakubwa ambao wao sio waathirika, familia zao zipo salama. Yako nani ataipa faraja nani ataitunza. Hapo wanapigania nchi au wanapigania ubabe waviongozi, ambao at the watapatana. We ndo umepata hasara na familia yako.
 
Yaani Urusi ni kama Watoto, hapa walikuwa wanarekodi video Propaganda. Kwamba Wailipue hii S-300 TEL huku wakiwa range ya karibu, halafu warekodi Video ikiwa inawaka moto Mkubwa. Basi mmoja wakampa PK machine gun alipue. Ikawalipukoa wote waliokuwepo, so hawajafanikiwa hata kurekodi moto wenyewe🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Wewe ulitaka Urusi waje waiteke Ukraine na Zelensky asipambane kulinda nchi sababu akilinda nchi anaonekana mbabe? Tuondolee ujinga. Mtu aje kwako abomomoe nyumba yako umuache ili usionekane mgomvi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…