Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Acha kupost maiti boss
Kuna pro Urusi wanasema Wanajeshi wa Urusi hawafi. Sasa wataaminije? Nina picha zaidi ya mia sita Wanajeshi wa Urusi waliojifanya wamekufa. Hizi picha mbili tu kelele? Sasa nini maana ya Vita. Picha za mtu alokufa kwa ajali au Ugonjwa siwezi post. Lakini mtu alotaka kuua halafu akafa yeye nisipost? Si kweli... Hawa walokufa as long Warusi napost. Sababu wanatafutwa na ndugu zao inatakiwa wajue kwamba hawapo hai.
 
Mkoani Ulyanovsk kuna Boom. Urusi watakoma na HIMARS
Your browser is not able to display this video.
 
Mariupol kuna Boom. Kumbe HIMARS 20 zinaweza ikomboa Ukraine
Your browser is not able to display this video.
 
Pamoja na ubabe wa Urusi, huu ni mwezi wa pili ndege ya Urusi wala kitu chochote cha angani hakijakatiza anga ambayo Ukriane inatawala..

By command of the Air Forces of the Armed Forces of Ukraine

Hii mitambo imekaa tayari angani kwa chochote kitakacho katiza.
 
Yaani Warusi kwa pombe utawaua.. Bora wafe lakini pombe hawakupi🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Kuposti picha za maiti, tena zingine zimeharibika vibaya ni kiashiria cha ugonjwa wa akili.
Wewe ni Doctor hadi Useme hawa Warusi wamekufa? Wakati mnasema Wanajeshi wa Urusi ni jiwe hawafi
 
[emoji1258][emoji635][emoji298]The US ambassador in Moscow appealed to American citizens: leave Russia now or think of a plan for how to do without the help of the embassy.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Jamani tupeane updates hadi sasa Warusi wamerudishwa nyuma kwenye miji gani?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Wewe wajua kwa masaa 32, Urusi hawajasonga mbele sehemu yoyote. Vifaru Vimewaishia, leo Urusi imetua njia ya Crimea kuingiza Vifaru Mkoani Kherson. Ila HIMARS ipo.

Jana HIMARS imesambaratisha kambi nyingi za Jeshi la Urusi. Kambi zilizochakazwa kwa HIMARS ni ile ya Mariupol, Alchevsk, Shakhtarsk, Kirovske, Khartsyzk, Chystiakove, Zuhres, Prydorozhnje, Ilovaisk, Kalina Mine & Leninskyi Mkoani Donetsk.

Picha nitaweka taratibu japo nyingine nshaweka
 
Baada ya kupungukiwa Vifaru, Urusi inaingiza vifaru vingine kwa njia ya treni kupitia Crimea hadi Kherson. Vifaru aina ya T-72 na BMP-3. HIMARS inavisubiri
Your browser is not able to display this video.
 
Frontline ndo hii
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…