figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #3,741
Kuna maiti hapo? Napost mizogaAcha kupost maiti boss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna maiti hapo? Napost mizogaAcha kupost maiti boss
Kuna pro Urusi wanasema Wanajeshi wa Urusi hawafi. Sasa wataaminije? Nina picha zaidi ya mia sita Wanajeshi wa Urusi waliojifanya wamekufa. Hizi picha mbili tu kelele? Sasa nini maana ya Vita. Picha za mtu alokufa kwa ajali au Ugonjwa siwezi post. Lakini mtu alotaka kuua halafu akafa yeye nisipost? Si kweli... Hawa walokufa as long Warusi napost. Sababu wanatafutwa na ndugu zao inatakiwa wajue kwamba hawapo hai.Acha kupost maiti boss
Wanashindwa kulea familia zao eti wanakuja kupigana Ukraine. Matokeo ndo haya
View attachment 2286341View attachment 2286342View attachment 2286343View attachment 2286344
Kuposti picha za maiti, tena zingine zimeharibika vibaya ni kiashiria cha ugonjwa wa akili.Unataka apost nini ?? Umeitwa uku??🤬🤬🤬
Mkao wa kula tuPamoja na ubabe wa Urusi, huu ni mwezi wa pili ndege ya Urusi wala kitu chochote cha angani hakijakatiza anga ambayo Ukriane inatawala..
View attachment 2286319
By command of the Air Forces of the Armed Forces of Ukraine
Hii mitambo imekaa tayari angani kwa chochote kitakacho katiza.
Wewe ni Doctor hadi Useme hawa Warusi wamekufa? Wakati mnasema Wanajeshi wa Urusi ni jiwe hawafiKuposti picha za maiti, tena zingine zimeharibika vibaya ni kiashiria cha ugonjwa wa akili.
Relax. Urusi wanapumulia pua moja.. Maji ya shingo huko Kherson.Jamani tupeane updates hadi sasa Warusi wamerudishwa nyuma kwenye miji gani?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Wewe wajua kwa masaa 32, Urusi hawajasonga mbele sehemu yoyote. Vifaru Vimewaishia, leo Urusi imetua njia ya Crimea kuingiza Vifaru Mkoani Kherson. Ila HIMARS ipo.Jamani tupeane updates hadi sasa Warusi wamerudishwa nyuma kwenye miji gani?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app