figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #361
Kwa kasi waliyoanza nayo walipaswa kushinda mapema sanaSijui warusi wanakwama wapi?
Sifa zote zile za kijeshi walizonazo ni kama hazina maana au mantiki, bado wanapigana kizamani?
Yaani mpaka sasa wameshindwa kuikamata Ukraine. Maajabu haya.
Nyie nao anzisheni uzi wenu, huu uzi ni kwaajili ya Ukraine tu. Russians anzisheni wenuYani we jamaa ni fala sana. Hakuna post hata moja umeweka inayoonyesha kuwa Ukraine nae anapigwa. Zote umeweka taarifa za uongo na kweli kuwa Mrusi anachezea kichapo.
Urasikia vifaru ya Urusi vikiungua, Helikopta ya urusi baada ya kudunguliwa na Ukraine na blah blah nyingine.
Acha utoto.
Hata propaganda wameshindwaSijui warusi wanakwama wapi?
Sifa zote zile za kijeshi walizonazo ni kama hazina maana au mantiki, bado wanapigana kizamani?
Yaani mpaka sasa wameshindwa kuikamata Ukraine. Maajabu haya.