Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Leo tarehe 27 Machi Vikosi vya Ukraine vimekamata Kifaru cha Urusi aina ya T-72B3. Warusi tumewafurumusha pekupeku
 
Leo tarehe 27 Machi 2022, Tumewafurumusha kweli Warusi. Hawa walikuwa wanakimbia na kifaru chao, tukawazima kwa Drone🤣🤣
 
27 Machi 2022: Kuna kikosi cha Ukraine kinaitwa Azov Battalion kinawaendesha Warusi hadi basi. Hapa ni Mkoani Mariupol wakiforce kuwanyang'anya Warusi Vifaru viwili. Warusi ilibidi wakimbie na kuviacha🤣🤣
 
Mungu ni mwema. Leo 27 Machi 2022, tumeweza wasukumia Mbali Waeusi na kuteka baadhi ya zana vita zao. Huu mji tunaouzingira ni Kherson. Warusi walikuwa wanasumbua, leo wananchi Watalala. Kikosi cha ardhini💪 zoom kuangalia Video
 
Angalia Silaga aina ya Stugna-P ATGM ya Ukraine, ilivyosambalatisha Kifaru jeshi cha Urusi. Haijafamika bado ni aina gani ya Kifaru
 
Leo 27 Machi 2022,Urusi wamepoteza sana.. Hawaamini macho yao.

Hapa ni Mkoa wa Sumy Wilayani Trostianets , Ukraine wameteketeza silaha aina ya 2B11/2S12 sani tatu, Sani 120mm mortars mbili, Magari ya Ugavi matatu, na Kifaru aina ya BMP-2. Na Magari mwngi aiana ya UAZ. Vyote vilivyoteketezwa ni mali ya Urusi
20220327_231848.jpg


20220327_231852.jpg


20220327_231855.jpg


20220327_231858.jpg
 
Hili ni gari la Urusi la kubeba silaha aina ya Ural-4320 Zvezda-V, limeharibiwa Mkoani Donetsk
20220327_232922.jpg
20220327_232924.jpg
 
Urusi wamepoteza Vifaru Magari, Silaha, Tonado U, Ural 4320, BM 21 Glad, Shturm S, T-72B3, T-80UE1
Sumy leo kulichangamka
20220327_233453.jpg
20220327_233449.jpg
20220327_233444.jpg
20220327_233437.jpg
20220327_233424.jpg
20220327_233421.jpg


20220327_233357.png


20220327_233355.png


20220327_233341.jpg


20220327_233330.jpg
 
🤣🤣🤣🤣🤣

Huo wimbo ni Lucky dube
 
Sijui warusi wanakwama wapi?
Sifa zote zile za kijeshi walizonazo ni kama hazina maana au mantiki, bado wanapigana kizamani?
Yaani mpaka sasa wameshindwa kuikamata Ukraine. Maajabu haya.
Kwa kasi waliyoanza nayo walipaswa kushinda mapema sana
 
Mwanajeshi wa Ukriane achambua vyakula wanavyokula wanajeshi wa Urusi
 
Kifaru cha Urusi aina ya BTR-82A kikiwa hoi kwenye mji wa Irpin Magharibi mwa Mkoa wa Kyiv. 27 Machi 2022
 
 
Yani we jamaa ni fala sana. Hakuna post hata moja umeweka inayoonyesha kuwa Ukraine nae anapigwa. Zote umeweka taarifa za uongo na kweli kuwa Mrusi anachezea kichapo.

Urasikia vifaru ya Urusi vikiungua, Helikopta ya urusi baada ya kudunguliwa na Ukraine na blah blah nyingine.

Acha utoto.
Nyie nao anzisheni uzi wenu, huu uzi ni kwaajili ya Ukraine tu. Russians anzisheni wenu
 
Sijui warusi wanakwama wapi?
Sifa zote zile za kijeshi walizonazo ni kama hazina maana au mantiki, bado wanapigana kizamani?
Yaani mpaka sasa wameshindwa kuikamata Ukraine. Maajabu haya.
Hata propaganda wameshindwa
 
Kuna watu wanadai Warusi wana mafunzo hawawezi kukamatwa kama kuku wa kisasa. Leo 28 Machi 2022 tumedaka hawa wavamizi wa Ukraine.
Hadi kesho watakuwa wanapumlia pua moja😂😂😂
 
Jumamosi 26 Machi 2022, Jeshi la Ukraine lilikamata Godauni la Silaha za Urusi. Mara ya kwanza tulijua ni aina ya AK-12, baada ya Uchunguzi wa kina tumekuta ni "AK-74 RMO" au AK74 yenye KM-AK Obves iliyoboreshwa kwa kuongezewa vitu kama stock, reli na muzzle device.
 
Back
Top Bottom