SirAlfred006
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 517
- 1,243
Hizo drone Iran angeziamini angezitumia kuwawinda walio muua QassemIran Hana silaha za kuchezea ndio maana wameenda mara mbili kuomba ila Kama Iran anaonekana hatoi ushirikiano wa kutosha.
Iran mwenyewe ana mfupa wa muisrael ulishamshinda tangia zamani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], zamu yenu itafika tu kuweni na subira.Na sisi wanamigambo tutafikiwa lini? View attachment 2293549
Umechoka wewe tu wapo wanasoma na kuelewa vizur.Ww nae had nato wenzako wamekuchoka..unaaibisha jf..the home of GT