Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hakuna kitu nachukia Kama huyu jamaa hajaupdet huu uzi. Pole sana mrusi wa kisemvule sisi huu uzi tunaupenda sana
Namshangaa uyu mwamba sijui amelogwa ama nini, sasa umemchoka sawa bt kwenye uzi wake unafuta nini kwani si uke tu na mambo nyuzi zako unazozipenda wewe au uende kwenye nyuzi zenu nyie warusi wa usweken!!
 
Mipango imekamilika. Hivi karibuni, Ukraine inaingia Crimea kwa kutumia HIMARS
View attachment 2293988
Hivi mkuu kuna taarifa yeyote ya ukraine kupewa system za kulinda dhidi ya makombora ya Russia? Maana naona kwa sasa ndio kitu pekee kinachompa kiburi mvamizi wakimuweza kwenye makombora anayorudha akiwa mbali itakuwa ni countet nzuri sana na atapunguzwa speed sana.
 
Ndo maana anashambulia Mikoa ambayo hawajafikiwa na Ulinzi. Ila pote itawekwa. Sisi tunachat ila wao wamesomea hii fani ya Vita na wanapigana wao, wanajua cha kufanya. Usiwe na wasiwasi
 
Ww nae had nato wenzako wamekuchoka..unaaibisha jf..the home of GT
Kivipi Mkuu, hebu funguka tujuze ni nato wepi wamemchoka na anaaibishaje jf?
Usikute ni ww tu peke yako umekereka na unatoa blanket statement hii. Utuache bhana we nenda kwenye ule uzi wenu ambao sisi hatufikagi huko kwani hatupendi matusi wala kejeli.
 
Ana aibisha vipi Jf we Mpuuzi umeshikiwa panga kusoma huu uzi?
Kimbelembele chake kufukunyua nyuzi za watu na sasa amesoma ya ukweli na kinamuuma halafu anajaribu kumkatisha Tamaa. We ulie tuu; Mkuu Figganigga Leta/Shusha vitu.........Mrusi ajue alikuwa hajui uvamizi hauna Tija hata ck moja.
 
Au wajikite zaidi kulipua maghala yanayohifadhi makombora hayo.
 
Ndo maana anashambulia Mikoa ambayo hawajafikiwa na Ulinzi. Ila pote itawekwa. Sisi tunachat ila wao wamesomea hii fani ya Vita na wanapigana wao, wanajua cha kufanya. Usiwe na wasiwasi
Nyooo....marekani na ujanja wake wote hana defence system ya kuzuia makombora ya mrusi..calibr..supersonic..hayaonekan..nyie endeleeni kujamba jamba tuu..wakat mrusi bado yuko kwenye special operation..siku akisema ni total war..utakimbia na nguo kichwani na kathread kako uchwara haka
 
Au wajikite zaidi kulipua maghala yanayohifadhi makombora hayo.
Wanapiga kutoka kwenye meli baharini au wakati mwingine wanapiga tokea urusi kabisa dawa ni kuleta hizo sytem tu huku HIMARS zikiwapeleka puta mbwa hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…