OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Ahaa. Kumbe mwarobaini upo.Sasa hivi Urusi inaogopa kutunza silaha kwenye maghala ya silaha huko Mashariki mwa Ukraine, inachokifanya Urusi kwa sasa ni kupakua silaha huko mbali na kuzijaza kwenye magari ya kusafirishia na kuzipeleka msitari wa mbele. Hata hivyo hiyo ni risky pia itarudi kama mwanzoni mwa vita ambapo gari zilikuwa zinawindwa na drones na kulipuliwa.