Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Sasa hivi Urusi inaogopa kutunza silaha kwenye maghala ya silaha huko Mashariki mwa Ukraine, inachokifanya Urusi kwa sasa ni kupakua silaha huko mbali na kuzijaza kwenye magari ya kusafirishia na kuzipeleka msitari wa mbele. Hata hivyo hiyo ni risky pia itarudi kama mwanzoni mwa vita ambapo gari zilikuwa zinawindwa na drones na kulipuliwa.
Ahaa. Kumbe mwarobaini upo.
 
Nawakubali sana vijana wasio na kanuni. No negotiations, No mercy, Death assured and guaranteed.
Azov wana hasira. Unajua wenzao wa Mariupol pale Azovstal walitekwa nyara?. So wanalipiza kisasi. Sasa hivi wana Battalion matata sana inajiita SOF (Azov special operations) Wameiva kivita
 
Warusi kuna gari wamerushia makombora wakijua ni HIMARS. Wawepagawa
Screenshot_20220717-214124.png

Hii sio HIMARS
IMG-1626968353060-1626968787404-01.jpg
M142_HIMARS_360_720_50-48.jpg
M142_HIMARS_360_720_50-16.jpg
M142_HIMARS_360_720_50-36.jpg
HIMARS-JR-Ng-696x522.jpg

Hii ndo HIMARS. Nawasaidia Warusi
 
Kuna picha imesambazwa na Urusi ya Gari la mizigo lililoshambuliwa la Ukriane. Ila Urusi imedai ni HIMARS. Jamaa kamuua kutoa tofauti ya hilo gari wanalodai ni HIMARS na HIMARS halisi. Angalia
View attachment 2294538
Mkuu nimeielewa sana hii video kuna mjinga mmoja kule kwenye uzi waliojazana pro russia na matusi yao ameweka picha hii kama ushahidi wa HIMARS kulipuliwa. Thank you.
 
FXuIVdGVsAQcNfv.jpg

1658143090694.png

Baada ya M270 Multiple Launch Rocket Systems za Marekani kuingia Ukraine, Urusi wamehamisha meli zao za Kivita kutoka bandari ya Sevastopol iliyopo Crimea na kuzihamishia bandari ya Novorossiysk nchini Urusi. Ni baada ya kundua M270 MLRS, ina uwezo wa kufika kwenye hiyo bandari ya Crimea na Makombora yake hayazuiliki. Ndo maana tunasema, Soon Crimea inarudi.
FX5pCxEXwAAsL3M.jpg
FX5SYwIWQAMqCvf.jpg
FX5Sf_WWAAEb_KK.jpg

Hapa penye rangi, ndipo MLRS inaweza kupiga bila kuhama Position
 
Back
Top Bottom