Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ahaa. Kumbe mwarobaini upo.
 
Nawakubali sana vijana wasio na kanuni. No negotiations, No mercy, Death assured and guaranteed.
Azov wana hasira. Unajua wenzao wa Mariupol pale Azovstal walitekwa nyara?. So wanalipiza kisasi. Sasa hivi wana Battalion matata sana inajiita SOF (Azov special operations) Wameiva kivita
 
Kuna picha imesambazwa na Urusi ya Gari la mizigo lililoshambuliwa la Ukriane. Ila Urusi imedai ni HIMARS. Jamaa kamuua kutoa tofauti ya hilo gari wanalodai ni HIMARS na HIMARS halisi. Angalia
View attachment 2294538
Mkuu nimeielewa sana hii video kuna mjinga mmoja kule kwenye uzi waliojazana pro russia na matusi yao ameweka picha hii kama ushahidi wa HIMARS kulipuliwa. Thank you.
 


Baada ya M270 Multiple Launch Rocket Systems za Marekani kuingia Ukraine, Urusi wamehamisha meli zao za Kivita kutoka bandari ya Sevastopol iliyopo Crimea na kuzihamishia bandari ya Novorossiysk nchini Urusi. Ni baada ya kundua M270 MLRS, ina uwezo wa kufika kwenye hiyo bandari ya Crimea na Makombora yake hayazuiliki. Ndo maana tunasema, Soon Crimea inarudi.

Hapa penye rangi, ndipo MLRS inaweza kupiga bila kuhama Position
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…