figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #4,061
Nimeona meli zote zimeondolewa Crimea na kupelekwa UrusiNa HIMARS za kupiga umbali wa KM 300 zipo njiani zinakuja. Daraja la urusi huko Crimea likae mkao wa kula, litachapwa muda si mrefu.
Kwamba hawajipendi au kupenda meli zaoMeli zao za Kivita kwanini Wazihamishe kutoka Crimea na kuzirudisha Urusi? Walizileta kufanya nini sasa? Urusi waache Uoga.
View attachment 2294832View attachment 2294833View attachment 2294834
Viongozi wa Urusi hawana busara Mana wameamua kufanya nchi yao kuwa masikini kwa kutaka sifa za kijinga.Wanajua hii vita hawashindi ila wanachofanya ni ubabe wa kijingaView attachment 2294829
Baada ya M270 Multiple Launch Rocket Systems za Marekani kuingia Ukraine, Urusi wamehamisha meli zao za Kivita kutoka bandari ya Sevastopol iliyopo Crimea na kuzihamishia bandari ya Novorossiysk nchini Urusi. Ni baada ya kundua M270 MLRS, ina uwezo wa kufika kwenye hiyo bandari ya Crimea na Makombora yake hayazuiliki. Ndo maana tunasema, Soon Crimea inarudi.
View attachment 2294826View attachment 2294828View attachment 2294827
Hapa penye rangi, ndipo MLRS inaweza kupiga bila kuhama Position
Wamejua muziki mzito unakuja maana Ukraine inaandaa jeshi la mtu milioni moja kwa ajili ya South Offensive. Warusi wanajua hiyo offensive ya South italenga hadi meli zilizoko black sea, na kama unavyojuaUkraine ina zils Hapoon missiles za kupigia meli.Nimeona meli zote zimeondolewa Crimea na kupelekwa Urusi
Wap walitest na wakashindwa kuzui hayo makombora?Nyooo....marekani na ujanja wake wote hana defence system ya kuzuia makombora ya mrusi..calibr..supersonic..hayaonekan..nyie endeleeni kujamba jamba tuu..wakat mrusi bado yuko kwenye special operation..siku akisema ni total war..utakimbia na nguo kichwani na kathread kako uchwara haka
Safi mnooo tumfanyie promo kweli apandishwe cheoHuyu dogo ana miaka 19 wapambanaji wenzake wanamuita "Zaporizhzhia Avenger" ndo aloangusha ndege ya Urusi aina ya Su-25 kwa kutumia Igla (Needle) man-portable-defense-system. Hii ni ndege ya Sita anaangusha. Pia kashaangusha cruise missile. Anapigiwa chapuo awe promoted.
Wakongwe wanamuuliza anafanyajefanyaje? Hajafikisha hata miaka 20
View attachment 2294460View attachment 2294461
Hapo juu nilimpost akiwa kwenye action. Anaitwa Anastasia Lenna, alikuwa Miss Grand Ukraine. Yupo frontline achana na wakina Wema Sepetu.
... Shida ina mtutu mmoja. Ingekuwa na mitutu kama nane hivi inatema simultaneously safi sana. Maoni ya mjinga lakini mtanisamehe.Tusifie silaha zote, ila msisahau hii CAESAR Howitzer ya Ufaransa. Ndo silaha imetusaidia kule Donbas warusi wakashindwa kusonga mbele. Haikosei shabaha, sema zipo chache. Tungepata hizi 20 pale Kherson, sasa tungekuwa tunaongea mengine. Hii ina GPRS. Inatumia computer na inapiga umbali wa km 40 hadi 55. haikosei. Sema tofauti yake na himars kwa shabaha hakuna
View attachment 2295486
Wameshusha Bomber yao wenyeweNdege ya Urusi tena. Huko Alchevsk, Donbass. Inadaiwa ni friendly fire
View attachment 2295015