Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ifahamike kwamba katika Mikoa ya Kherson na Mykolayiv Wavamizi kutoka Urusi, Wamerudishwa nyuma katika Miji ya Vysokopillya, Arkhanhel's'ke, Davydiv Brid, Snihurivka na Kyselivka.
FX5gEkpWYAAwyrp.jpg
 
View attachment 2294829
Baada ya M270 Multiple Launch Rocket Systems za Marekani kuingia Ukraine, Urusi wamehamisha meli zao za Kivita kutoka bandari ya Sevastopol iliyopo Crimea na kuzihamishia bandari ya Novorossiysk nchini Urusi. Ni baada ya kundua M270 MLRS, ina uwezo wa kufika kwenye hiyo bandari ya Crimea na Makombora yake hayazuiliki. Ndo maana tunasema, Soon Crimea inarudi.
View attachment 2294826View attachment 2294828View attachment 2294827
Hapa penye rangi, ndipo MLRS inaweza kupiga bila kuhama Position
Viongozi wa Urusi hawana busara Mana wameamua kufanya nchi yao kuwa masikini kwa kutaka sifa za kijinga.Wanajua hii vita hawashindi ila wanachofanya ni ubabe wa kijinga
 
Nimeona meli zote zimeondolewa Crimea na kupelekwa Urusi
Wamejua muziki mzito unakuja maana Ukraine inaandaa jeshi la mtu milioni moja kwa ajili ya South Offensive. Warusi wanajua hiyo offensive ya South italenga hadi meli zilizoko black sea, na kama unavyojuaUkraine ina zils Hapoon missiles za kupigia meli.
Ndiyo maana Urusi kwa kuanticipate counter offense ya Waukraine imepreempt mashambulizi ili kuwazuia waukraine kuwa wao ndo waanzisha offense.

Tunakwenda mwezi wa Sita wa vita sasa, Urusi haijaweza kukamata Donbas nzima, imekamata Luhansk tu ila Donetsk bado kinawaka
 
Nyooo....marekani na ujanja wake wote hana defence system ya kuzuia makombora ya mrusi..calibr..supersonic..hayaonekan..nyie endeleeni kujamba jamba tuu..wakat mrusi bado yuko kwenye special operation..siku akisema ni total war..utakimbia na nguo kichwani na kathread kako uchwara haka
Wap walitest na wakashindwa kuzui hayo makombora?
 
Huyu dogo ana miaka 19 wapambanaji wenzake wanamuita "Zaporizhzhia Avenger" ndo aloangusha ndege ya Urusi aina ya Su-25 kwa kutumia Igla (Needle) man-portable-defense-system. Hii ni ndege ya Sita anaangusha. Pia kashaangusha cruise missile. Anapigiwa chapuo awe promoted.

Wakongwe wanamuuliza anafanyajefanyaje? Hajafikisha hata miaka 20
View attachment 2294460View attachment 2294461
Safi mnooo tumfanyie promo kweli apandishwe cheo
 
Hapo juu nilimpost akiwa kwenye action. Anaitwa Anastasia Lenna, alikuwa Miss Grand Ukraine. Yupo frontline achana na wakina Wema Sepetu.
Screenshot 2022-07-18 121642.png
FMqtbAiaQAEGQIc.png
Image-from-iOS-408-1024x512.jpg
Screenshot 2022-07-18 122328.png
Screenshot 2022-07-18 122428.png
Anastasiia-Lenna.jpg
FM16k_NXIAgGZUR.jpg
FQO2a93X0AcalNG.jpg

“If Russia stops fighting, there will be no war. If Ukraine stops fighting, there will be no more Ukraine."
 
Tusifie silaha zote, ila msisahau hii CAESAR Howitzer ya Ufaransa. Ndo silaha imetusaidia kule Donbas warusi wakashindwa kusonga mbele. Haikosei shabaha, sema zipo chache. Tungepata hizi 20 pale Kherson, sasa tungekuwa tunaongea mengine. Hii ina GPRS. Inatumia computer na inapiga umbali wa km 40 hadi 55. haikosei. Sema tofauti yake na himars kwa shabaha hakuna
 
Tusifie silaha zote, ila msisahau hii CAESAR Howitzer ya Ufaransa. Ndo silaha imetusaidia kule Donbas warusi wakashindwa kusonga mbele. Haikosei shabaha, sema zipo chache. Tungepata hizi 20 pale Kherson, sasa tungekuwa tunaongea mengine. Hii ina GPRS. Inatumia computer na inapiga umbali wa km 40 hadi 55. haikosei. Sema tofauti yake na himars kwa shabaha hakuna
View attachment 2295486
... Shida ina mtutu mmoja. Ingekuwa na mitutu kama nane hivi inatema simultaneously safi sana. Maoni ya mjinga lakini mtanisamehe.
 
Back
Top Bottom