Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Leo tarehe 20 Julai 2022 ni Siku ya 147 tangu Urusi avamie Ukraine kimabavu bila kosa lolote.

Ripoti imetoka kwamba wakati wa Mapambano kati ya Urusi na Ukriane maeneo ya Lysychansk na Sieverodonetsk Mkoani Luhansk Ukraine ilifanikiwa kuwaangamiza na kuwakata Pumzi Wanajeshi wa Urusi 11,000. Kati yao, Wanajeshi elfu 2-3 ni wale wanaojiita "LPR", na elfu 8-9 ni Kutoka Jeshi la Urusi. Hapa ni miji Miwili tu. Wasingevamia wasingekufa. Ubabe umewaponza
 
Urusi wamekutana na risasi za Kikatili
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…