Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi
Jeshi la Urusi baada ya kuona Vifaru vyake vinachukuliwa na Ukraine, wameamua kutumia Pickups. Mwaka huu 2022 Ukraine ndo nchi inayoongoz kuwa na Vifaru vya Urusi kwenye Soko la Dunia la Silaha.
Nazo tutazibeba🤣🤣🤣
Tigr-M za Urusi zilivuofanywa kaskazini mwa Ukraine
Vifaru vya Urusi ain ya T-80U. Tunafuatilia ni Ukraine sehemu gani
Vifaru vya Urusi kiboko yake ni NLAW missiles.
Ikipigwa lazima Mkonga ufyatuke na kuacha kiwiliwili. Hii vita inaenda kubadilisha Mfumo wa kutengeneza Vifaru vya Urusi. Vimeshakuwa outdated
Yaani silaha ndongo NLAW tena moha tu, inachanachana kifaru chote🤣🤣🤣
Kuna watu watajiuliza, hiyo Silaha ya NLAW inayoangamiza Vifaru vya Urusi ipoje? Ni silaha inayobebeka, ina Kilo 11, inaweza kupiga umbali wa mita 600 kwa Sekunde mbili hadi 3.
Angalia Warusi walivyoteketezwa kama sisimizi
Ukraine imekamata kifaru aina ya T-72B3M (Obr. 2016)
Nilisema kwamba Urusi hawafiki mbali
Habari njema ni tarehe 28 Machi 2022 tumeukomboa mji wa Irpin japo Mapambano yalikuwa makali. Warusi wamelia na kusaga meno.
Sasa tumebakiza Mji wa Bucha tu ili Kyiv yote ikombolewe.
Sasa tumewafukuza Warusi kwenye miji ya Motyzhyn, Lisne, Kapitanivka na Dmytrivka. Warusi sasa wapo umbali wa 16km kutoka walipokuwa Mwanzo.
Hawa waliopo Bucha tunawazingira tu. Nitawapa Update
Mji wa Irpin. Picha imepigwa kwa Drone
Urusi Wamerudi nyuma Mashariki kwa Ukraine kujipanga upya. Hapa wapo karibu na Mji wa Kursk. Tunawachora tu😂😂
Angalia msafara wa Urusi ulivyo shambuliwa kwa kutumia Whilst 5 IEDs tu.
Baada ya Mji wa Irpin kukombolewa, Ukraine wanaingiza Vifaru vyao katikati ya mji
29 machi 2022: Jeshi la Ukraine katika mji wa Trostianets Mkoani Sumy wamefanikiwa kuteka Vifaru vya Urusi aina ya Msta-S 152mm self-propelled howitzer na T-72B3M (Obr 2016)