Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Urusi wamekutana na Risasi za Kikatili za vijana wasio na kanuni
Your browser is not able to display this video.
 
Huyu katoka Urusi kaja Ukraine kuua kizazi cha Ukraine, kafa yeye🤣🤣
 
Pro Urusi wananilalamikia inbox eti siwafuniki sura wauaji wa Urusi. Kaja kuua kafa yeye.. Niwaheshimu wa nini? Ngoja niwafunike sura mfurahi mnitumie soda
 
Hawa Warusi walevi, wanatoa alama za barabarani eti zina rangi ya Ukriane. Hizo rangi zipo nchi. Nzima, utaziona tu. Urusi hawana raha. Hii inaitwa usiyempenda kaja
Your browser is not able to display this video.
 
Baada ya kuwaua Warusi, sasa vijana wasio na kanuni wanajipongeza
Your browser is not able to display this video.
 
Angalia ghala la Silaha za Urusi huko Rakovka baada ya kuharibiwa. Wavamizi wameamua kukimbia
Your browser is not able to display this video.
 
Hapa ni Zaporozhye penye mtambo wa nuclear. Ukraine imeshambulia kwa drine za kamikaze ambapo hiyo camp ya mahema, silaha za anti-aircraft na gari la BM-21 "Grad" vimeharibiwa.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…