figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #4,221
Distribution of labourWe jamaa unachonifurahisha warusi wa kwa mtogole huangaiki nao umetuachia sisi tujibishane nao
Lengo la Urusi ni atumie Nukes, maana Ukraine akimfata kwake lazima tu atatumia Nukes....Baada ya HIMARS Kuingia, sasa Urusi wanaishambuli Kharkiv kutokea Urusi. Nini kifanyike ili kuizima Silaha inayoshambulia kutokea Urusi? HI wamesema zisishambulie nje ya Ukraine.
View attachment 2300317
Hata Mkuu wa MI6 ya Uingereza kasema Jana kwamba ndani ya miezi miwili ijayo Urusi hatakua Tena na uwezo wa kupigana.Urusi wameanza ishiwa Wanajeshi, hawa wamefundishwa mwezi mmoja. Wanaletwa kuzikwa Ukraine
View attachment 2299977
Inawezekana. Urusi ilijiandaa kwa hii Vita, ukiangalia Maghala ya Silaha yaliyoharibiwa Donbas Kherson kherkyiv, hakika walijiandaa. Sasa hivi wakisikia Ukreina wanakuja basi wanakimmbia mbio.Hata Mkuu wa MI6 ya Uingereza kasema Jana kwamba ndani ya miezi miwili ijayo Urusi hatakua Tena na uwezo wa kupigana.
Jamaa wanakufa kama sisimizi ubaya viongozi wao hawajali kuhusu maisha ya askari wao. We fikiria wamepigana tu na ukraine miezi 6 lakini wameshapoteza askari wengi kuliko US alivopoteza kwa miaka 20 vita vya Afghanistan.Hata Mkuu wa MI6 ya Uingereza kasema Jana kwamba ndani ya miezi miwili ijayo Urusi hatakua Tena na uwezo wa kupigana.
Daaaah hatare mnoooInawezekana. Urusi ilijiandaa kwa hii Vita, ukiangalia Maghala ya Silaha yaliyoharibiwa Donbas Kherson kherkyiv, hakika walijiandaa. Sasa hivi wakisikia Ukreina wanakuja basi wanakimmbia mbio.
Angalia picha. Kabla na baada ya HIMARS maghala ya Silaha na risasi yalivyo.
View attachment 2300355
Mkuu; Kwani utaratibu ukoje? Hao si ni Matekaa?Tumepapata. Wanajeshi wa Urusi zaidi ya 2,000, wamezingirwa Vaisokopiliya Mkoani Kherson. Wanaomba Corridor warudi Urusi walipotoka. Natamani Wangezungukwa na Azov, tungekuwa tunaongea mengine. Wote wangekufa.
Sisi walituzingira Azovstal wakajitapa sana. Zamu yao🤣🤣🤣
View attachment 2300487View attachment 2300488
Azov hawana mambo ya mateka. Inategemea wamezingirwa na Brigade gani. Wameishiwa Risasi na chakula. Wanavaa nguo za kiraia.. Ila hakuna mwanaume atachomoka. Hakuna ndege kukatiza wala nzi🤣🤣Mkuu; Kwani utaratibu ukoje? Hao si ni Matekaa?
HIMARS zingewahishwa tangu hii vita inaanza nadhani mpaka Crimea ingekua isharudi UkraineUkraine wamegoma kuwapa Warusi green Corridor waretreat. Wamepewa masaa kujisalimisha wao na vifaa vyao au wote wauawe. Usiku huu hadi saa nne, Wanajeshi 59 wa Urusi wamejisalimisha. Asubuhi tunategemea wengine zaidi..
View attachment 2300563View attachment 2300564
Walikaa wakisubiri Silaha na risasi kwa siku tatu, bila kujua HIMARS imeshalipua ghala. Hawana msosi. Hakuna wa kuingia wala kutoka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Azov muda wangeshawapa risasi za Kikatili
Safi sana wachukue mateka hao watasaidia badae kwenye kubadilishana. Peleka moto tu.Ukraine wamegoma kuwapa Warusi green Corridor waretreat. Wamepewa masaa kujisalimisha wao na vifaa vyao au wote wauawe. Usiku huu hadi saa nne, Wanajeshi 59 wa Urusi wamejisalimisha. Asubuhi tunategemea wengine zaidi..
View attachment 2300563View attachment 2300564
Walikaa wakisubiri Silaha na risasi kwa siku tatu, bila kujua HIMARS imeshalipua ghala. Hawana msosi. Hakuna wa kuingia wala kutoka 🤣🤣🤣
Azov muda wangeshawapa risasi za Kikatili
Bado nasubiri task ya kuvunja daraja la crimea mvamizi amalizwe nguvu kabisa. HIMARS are the game changers warusi hawaelewi hii.HIMARS zingewahishwa tangu hii vita inaanza nadhani mpaka Crimea ingekua isharudi Ukraine