Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hamna cha picha wala cideo. Ukraine wanapata kipigo na ardhi inachukuliwa. Hizo video na picha mnazoleta hapa kuonyesha waRussia wanauliwa na vifaa vyao kuharibiwa ni kweli na ni kawaida kwenye vita. Ila ukraine wana hali mbaya sana.
Mkuu, Hakuna vita yenye hali nzuri kwa pande zote husika. Hebu linganisha/vuta hisia za Dubwana kubwa kama Urusi (Mbabe)kupigana na Dogo kama Ukraine ambayo ilikuwa haijajiandaa kwa tukio hilo - huoni kwamba hata hivyo Ukraine ni ngangari kwelikweli kumudu na kumpelekesha Urusi vile? Mrusi alidhamiria, alijiandaa na kujizatiti kwa muda wa kutosha tofauti na Ukraine aliyevamiwa.
 
Azov wana adhabu nyingi, Mrusi asipokufa kwa Risasi anakufa kwa moto.
Your browser is not able to display this video.
 
You still don't get it. Russia anapigana at the same time anafikiria kesho atarejeshaje amani, mapatano na maendeleo. That's not actually war on the part of Russia. It only qualifies to be a Special Military Operation. No more, no less.

Anayepigana vita hapo ni mmoja--Ukraine kwa hisani ya NATO na Marekani.
 
Tujikumbushe: February 27, Urusi waliingia Mkoani Kharkiv kwa Mikwara mingi kama movie ya Kivita. Hii battalion hakubahatika kurudi ilipotoka. Walikula ambushi wote wakafa. Ndipo Urusi ikaanza kuwa na nidhamu. Hawatasahau Milele. Nani anakumbuka hii? 🀣🀣🀣. Hadi leo hawajarudi tena Kharkiv, wanaisoma kwenye Magazeti tu.
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu umezidiwa tu na mahaba ya Russia, Russia amevamia Ukraine na sio MAREKANI, Ukraine ni taifa dogo sana ukilinganisha na masilaha aliyonayo Russia, Military operation hainaga lengo la kuharibu rasilimali na kuua raia wasio na hatia, na operation ni ya muda mfupi tu, sasa niambie mpaka sasa hivi ameachieve nini?
 
German tayari kaisha deliver Gepard zake zenye anti-air craft. Battle inazidi kuchanganya
Hii inaitwa TACTICAL EXPERIMENT. Katika medani za vita, ni kawaida nchi moja isiyojitambua na isiyojali usalama na utu wa raia wake, kukubali ardhi yake iwe uwanja wa kujaribia silaha za kisasa.
 
Usiniambie Marekani na NATO hawana business yoyote na Ukraine kwenye Russian SMO. Udogo wa Ukraine unaupimaje?

Nijibu kama unaweza, why Russia aliwatangazia raia wa Ukraine waondoke kwenye uwanja wa vita?

Kwa nini aliwaonya foreign marcenaries wasithubutu kuja Ukraine because wasingepata nafasi ya kurudi tena makwao?

Kwa nini Russia aliruhusu humanitarian corridors time and again?

Kwa nini Ukraine anawatumia raia wake kama human shield?

Kwa nini Ukraine hataki kufanya suluhu na Russia, anadai hadi tone la mwisho?

Kwa nini Russia wanajenga upya maeneo ambayo tayari wameshayadinazifai na kudimilitaraizi?

Kwa nini unakuja JF ilhali unajua akili umeisahau home?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…