Hizi drone zinawadonoa kama kuku 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi drone zinawadonoa kama kuku 😂😂
Mkuu, Hakuna vita yenye hali nzuri kwa pande zote husika. Hebu linganisha/vuta hisia za Dubwana kubwa kama Urusi (Mbabe)kupigana na Dogo kama Ukraine ambayo ilikuwa haijajiandaa kwa tukio hilo - huoni kwamba hata hivyo Ukraine ni ngangari kwelikweli kumudu na kumpelekesha Urusi vile? Mrusi alidhamiria, alijiandaa na kujizatiti kwa muda wa kutosha tofauti na Ukraine aliyevamiwa.Hamna cha picha wala cideo. Ukraine wanapata kipigo na ardhi inachukuliwa. Hizo video na picha mnazoleta hapa kuonyesha waRussia wanauliwa na vifaa vyao kuharibiwa ni kweli na ni kawaida kwenye vita. Ila ukraine wana hali mbaya sana.
👏👏👏 asante sana. kwa kweli kwa kazi ya drone tumeshiba. jamaa katimua mbio kama swala. 😂😂😂Hili lilikuwa ombi la jamaa hapo juu. Drones zimetosha.
View attachment 2303714
Ewaaa!!!Hili lilikuwa ombi la jamaa hapo juu. Drones zimetosha.
View attachment 2303714
You still don't get it. Russia anapigana at the same time anafikiria kesho atarejeshaje amani, mapatano na maendeleo. That's not actually war on the part of Russia. It only qualifies to be a Special Military Operation. No more, no less.Mkuu, Hakuna vita yenye hali nzuri kwa pande zote husika. Hebu linganisha/vuta hisia za Dubwana kubwa kama Urusi (Mbabe)kupigana na Dogo kama Ukraine ambayo ilikuwa haijajiandaa kwa tukio hilo - huoni kwamba hata hivyo Ukraine ni ngangari kwelikweli kumudu na kumpelekesha Urusi vile? Mrusi alidhamiria, alijiandaa na kujizatiti kwa muda wa kutosha tofauti na Ukraine aliyevamiwa.
Mkuu umezidiwa tu na mahaba ya Russia, Russia amevamia Ukraine na sio MAREKANI, Ukraine ni taifa dogo sana ukilinganisha na masilaha aliyonayo Russia, Military operation hainaga lengo la kuharibu rasilimali na kuua raia wasio na hatia, na operation ni ya muda mfupi tu, sasa niambie mpaka sasa hivi ameachieve nini?You still don't get it. Russia anapigana at the same time anafikiria kesho atarejeshaje amani, mapatano na maendeleo. That's not actually war on the part of Russia. It only qualifies to be a Special Military Operation. No more, no less.
Anayepigana vita hapo ni mmoja--Ukraine kwa hisani ya NATO na Marekani.
Hii inaitwa TACTICAL EXPERIMENT. Katika medani za vita, ni kawaida nchi moja isiyojitambua na isiyojali usalama na utu wa raia wake, kukubali ardhi yake iwe uwanja wa kujaribia silaha za kisasa.German tayari kaisha deliver Gepard zake zenye anti-air craft. Battle inazidi kuchanganya
Usiniambie Marekani na NATO hawana business yoyote na Ukraine kwenye Russian SMO. Udogo wa Ukraine unaupimaje?Mkuu umezidiwa tu na mahaba ya Russia, Russia amevamia Ukraine na sio MAREKANI, Ukraine ni taifa dogo sana ukilinganisha na masilaha aliyonayo Russia, Military operation hainaga lengo la kuharibu rasilimali na kuua raia wasio na hatia, na operation ni ya muda mfupi tu, sasa niambie mpaka sasa hivi ameachieve nini?