Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Dah! Jamaa wamechomoa. Lakini hata hivyo Vifaa hawawezi kubeba - Watagawa kwa Ukraine bila shuruti.
 
Hawa Warusi hata hawajui wakimbilie wapi. Mambo yamekuwa magumu ikabidi wageuzu baada ya Vifaru vyote kuchakazwa kikabaki kimoja🤣🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Wakati wa utawala wa Medvedev, Putin alikuwa Waziri Mkuu na sasa Rais ni Putin na Medvedev ndiye Waziri Mkuu. Muda wote anajihisi kufa, ana ulinzi kuliko kitu chochote🤣🤣

Dmitry Medvedev mwenyewe ndo huyu
Your browser is not able to display this video.
 
Ghala la Silaha za Urusi huko Donetsk limewenda na maji. Milipuko yake ni balaa
Your browser is not able to display this video.
 
Pale mnawasubiri Warusi Asubuhi hadi jioni waje lakini waogopa kusonga mbele.
Your browser is not able to display this video.
 
Jamaa wamegawana nchi wanakula mema ya nchi kila mara wanabadili katiba waendelee kutafuna nchi. Majamaa ya urusi yapo kimya tu
Wakati wa utawala wa Medvedev, Putin alikuwa Waziri Mkuu na sasa Rais ni Putin na Medvedev ndiye Waziri Mkuu. Muda wote anajihisi kufa, ana ulinzi kuliko kitu chochote🤣🤣

Dmitry Medvedev mwenyewe ndo huyu
View attachment 2307547
A
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…