Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wakuu, Urusi baada ya kuona daraja la Antonovsky limebomolewa, wameogopa kuzingirwa, wameamua kuanza kuretreat. Wanaelekea Crimea. Ila daraja ndo Vifaru havipiti tena.. Wanavuka kwa Miguu. Wameanza kuikimbia Kherson wanaelekea Peninsula ya Crimea. Donbas napo hapakaliki.
View attachment 2306106
Dah! Jamaa wamechomoa. Lakini hata hivyo Vifaa hawawezi kubeba - Watagawa kwa Ukraine bila shuruti.
 
IMG_20220728_163631_085.jpg
 
Hawa Warusi hata hawajui wakimbilie wapi. Mambo yamekuwa magumu ikabidi wageuzu baada ya Vifaru vyote kuchakazwa kikabaki kimoja🤣🤣🤣
 
Wakati wa utawala wa Medvedev, Putin alikuwa Waziri Mkuu na sasa Rais ni Putin na Medvedev ndiye Waziri Mkuu. Muda wote anajihisi kufa, ana ulinzi kuliko kitu chochote🤣🤣

Dmitry Medvedev mwenyewe ndo huyu
 
Ghala la Silaha za Urusi huko Donetsk limewenda na maji. Milipuko yake ni balaa
 
Pale mnawasubiri Warusi Asubuhi hadi jioni waje lakini waogopa kusonga mbele.
 
Jamaa wamegawana nchi wanakula mema ya nchi kila mara wanabadili katiba waendelee kutafuna nchi. Majamaa ya urusi yapo kimya tu
Wakati wa utawala wa Medvedev, Putin alikuwa Waziri Mkuu na sasa Rais ni Putin na Medvedev ndiye Waziri Mkuu. Muda wote anajihisi kufa, ana ulinzi kuliko kitu chochote🤣🤣

Dmitry Medvedev mwenyewe ndo huyu
View attachment 2307547
A
 
Back
Top Bottom