Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Natamani kuwa operator wa HIMARS 😂😂😂. Kuna raha yake ikianza kutema vitu, ndo maana warusi wakisikia imetua sehemu lazima wachanganyikiwe.
Hizi kitu zinaraha yake mkuu. Russia mpaka sasa kichwa kinamuuma haziwezi.

Zinafyeka maghala ni hatari
 
Mkuu, wale wapiganaji almaaruf kama LEGION wanaendeleaje? Cjawasikia tena mkuu. Kama una updates plz. tupatie.
Waendelee vipi? Mbona sikuelwi?
Hawa hapa wakiwa wameteka Wanajeshi wa Urusi
20220730_070336.jpg
20220730_070341.jpg
 
Urusi yasema Ukraine imeshambulia kambi iliyokuwa yatumika kama magereza ya Azov, imeua Azov 45+, 75 majeruhi
Himars zilitumika

Ukraine hajathibitisha wala kukataa, ila kinachoonekana ni Warusi wameuawa
Waongo. Urusi wameua wapambanaji wetu Makusudi. Wanafanya hivyo kama Kisasi kwa Avov. Azov ambao wanakamatwa wanaua sana Warusi. Na wameapa watazidisha, safari hii wataua Warusi kwa mateso. HIMARS inashambulia Maghala ya Silaha na risasi. Hata daraja HIMARS haijahusika kama Urusi wanavyodai
 
Macedonia imeamua kuwapelekea Ukriane Vifaru ili ijilinde dhidi ya nduli Mavamizi Putin
 
Power ya Tekinolojia, Askari wa Ukraine wanatumia drone ndogo sana walizozibebesha milipuko, wanazirusha mpaka sehemu yalipo majeshi ya Urusi hata kama ni ndani ya Jengo zinajilipua na kuwapelekea maafa

View attachment 2308620
Haya mazuzu lazima yafurushwe ndani ya ukraine adha waizi yatakufa sana.

Another Su 25 imeenda na maji huko Donetsk.
Screenshot_20220730-124130.jpg
 
Urusi walinusa shambulio la leo Crimea. Jana Wamehamisha Vifaa vya Uhandisi kutoka Crimea na kuvirudisha Urusi. Leo Makao Makuu ya Jeshi la Majini la Urusi Mkoani Crimea, limeshambuliwa na Drone. Kazi imeanza.
 
View attachment 2309835
Wamehamisha muda mrefu, kuna siku nimepost kuwa kuna lifters zinafanya shanting kati ya crimea na urusi
 
Kazi kutupia picha za maiti,leta maeneo Ukraine iliyorudisha kutoka kwa Urusi.
 
Back
Top Bottom