kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 3,668
- 9,809
Hizi kitu zinaraha yake mkuu. Russia mpaka sasa kichwa kinamuuma haziwezi.Natamani kuwa operator wa HIMARS 😂😂😂. Kuna raha yake ikianza kutema vitu, ndo maana warusi wakisikia imetua sehemu lazima wachanganyikiwe.
Zinafyeka maghala ni hatari