Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Drone za Ukraine zimeshambulia Crimea leo. Huu ndo mwanzo, Urusi waanza kurudisha Urusi vifaa vya thamani
View attachment 2309843
Hivo ndo kukimbia au ni ku-retreat? Ameona moto wa Ukraine ni wa kuotea kwa mbali sio?. Heko Ukraine. Mungu awatie ujasiri na kuwawezesha kumng'oa huyo Goliath na kumtupa nje ya mipaka yenu halali - Aamina.
 
Leer-2 electronic warfare system. Hii ndo unaweza sema zana ya Kivita ya Kisasa ya Urusi iliyoingia Ukriane. Sababu zimeanza tumika Jeshini 2012
1493388977_upnyk-696x459.jpg
 
Kifaru cha Urusi aina ya BMP-3 IFV kiliharibiwa na Azov SSO (SOF) Mkoani Zaporizhzhia
20220731_150638.jpg
20220731_150640.jpg
20220731_150643.jpg
 
Usidanganywe na mapicha yakuokoteza hapa. Maeneo mapya ya Ukraine kila siku yanachukuliwa. Jana tu karibu majimbo 3 yame chukuliwa.
Mkuu; Usiaminishwe Umbeya na Ubuyu wa maneno ya kuokoteza mitaani(Vijiweni) au kule kwenye uzi wenu yasiyo na Ushahidi wowote, wala chanzo na Uthibitisho wowote. Sikuambii uje huku mkuu, La; bali nakutanabahisha unapopata Taarifa yoyote jaribu kwanza kuihakiki ukweli wake - ingekuwa ni mahakamani mzee, unafungwa leo-leo kwa mtindo huo wa "Nimesikia..., Nimeambiwa..."
 
Urusi muda mwingine wanakera sana, hii vita watashindwa kwa ujinga wao wa kutotumia silaha nzito kumaliza hii vita.

Au Urusi hana hizo silaha nzito kama tunavyoaminishwa?

Anaruhusuje wanajeshi wake wanateketea kwa wingi hivyo?

Anaruhusuje eneo wanaloteka, linakombolewa tena?

Hii vita ukraine inakuwa magofu, imeanguka kiuchumi, watu wanakufa ila Urusi na yeye anapata hasara kubwa sana kupoteza idadi ya wanajeshi wengi, vifaa n.k.

Gap analotoa Urusi kwa ukraine kujipanga, kupokea misaada ya vita na mafunzo, litamcost sana Urusi.

Na sijawahi kuona vita ambayo unampa adui nafasi ya kujipanga halafu akurudishe tena nyuma.

Hii vita ni ya kijinga sana.
Usikasirike mkuu,. Mrusi atumie silaha nzito kutoka wapi? Mbona kwenye maghala yake inavyoonesha ni Hazipo.
Mrusi hajaruhusu na wala hafurahishwi kwa wanajeshi wake kuteketea kwa wingi hivyo bali (Kama ulipitia review ya Army strengths) ni kutokana na udhaifu mkubwa uliopo upende wa Mrusi
1. Absolute Poor Planning
2.Incompetence kwenye matumizi ya zana za kazi. Hii hata wao wenyewe wanajeshi wa Urusi waliwahi kukiri hivo.
3. Dharau, Kiburi na Uzembe. Mrusi anadhani kwamba kuwa na nchi yenye eneo kubwa au kushika maeneo huko Ukraine ndo Ushindi kumbe sivyo hata kidogo. Mrusi hajifunzi na wala hataki kusikiliza Uzoefu kutoka kwa mataifa mengine. Amekaza shingo.
Kwa mfano Mrusi akiweza kushinda hii vita atakuwa tayari ameanzisha vita nyingine ya maguguni(Guerrilla war) kwani Ukraine hawatakubali kutawaliwa kimabavu na watakuwa na machungu ya yale waliyotendewa na Mrusi na hivyo watasimama kidete na kuanzisha vuguvugu(Insurgency) na nchi haitatawalika- kwa kifupi Mrusi amekumbatia mzinga wa nyuki.
 
Urusi kadri vita inavyosonga mbele anazidi kupata ugumu. Bora hata angemkamata Rais wa Ukraine. Achaguliwe Rais mwingine.

Huyu Rais wa ukraine kuendelea kubaki madarakani mpaka sasa ni changamoto wa Urusi kwenye vita.
Fashisti ndiye changamoto zaidi ya amani ya dunia.
 
Wanajeshi wa Urusi wanalalamikiwa kwa kumuua mwenzao wakati wa kuretreat. Wanadai alikuwa analalamika kuumia hadi anatoa sauti kwa nguvu, wakaona watafanya Ukraine wajue walipo ndo wakampiga ya kichwa.

Kwanini wasingembeba kwa machela?
 
Usidanganywe na mapicha yakuokoteza hapa. Maeneo mapya ya Ukraine kila siku yanachukuliwa. Jana tu karibu majimbo 3 yame chukuliwa.
Kwa hiyo na Ukraine war Google update inaokoteza position ya frontline ya kila upande . Wewe utakuwa mburura kweli kweli. Tena wale wakabunga.
 
Urusi kadri vita inavyosonga mbele anazidi kupata ugumu. Bora hata angemkamata Rais wa Ukraine. Achaguliwe Rais mwingine.

Huyu Rais wa ukraine kuendelea kubaki madarakani mpaka sasa ni changamoto kubwa kwaa Urusi kwenye uwanja wa vita.
Kumkamata Rais ni shughuli pevu mno. Halafu matokeo ya jaribio hilo ni mabaya kuliko maelezo kwani Mrusi atakuwa ameunda uadui wa kudumu baina ya Urusi na Ukraine kama ilivyo kwa nchi za Pakistan, Bangladesh, Ethiopia na Eritrea. Kila mtawala atakayekuja madarakani kwa uchaguzi wenye shinikizo hatakubalika katika jamii zote za nchi hiyo. Kwa hiyo ni vurugu tupu na mauaji ya kuviziana. Bora Mrusi asitishe vita na pande zote mbili wakae meza moja wazungumze tofauti/ kero zao hata kama ni kwa mwaka mzima ili hatimaye kupatikane suluhisho litakalokuwa limekubalika na pande zote.(Ni kwa mtazamo wangu)
 
Back
Top Bottom