Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wanajeshi wa Urusi Mkoani Kherson wanalalamika. Wanasema Wanakufa sana, na hawawezi kuretreat sababu Ukiretreat Ukifika Dnipro, Wanakupiga Risasi.

Mimi nasema ni Wajinga. Jisalimishe kwetu. Tatizo Kherson wapo Azov, wanaogopa kukamatwa na Azov

Kazi ya kuua wanaoretreat wamepewa Battalion ya Kadyrovites ambao ni Chechen. Urusi wanapoteana🤣
 
Sasa hivi Ndege za Ukraine zinapaa bila tabu. Tulikuwa tunasikia ooh! Tumeharibu mifumo yote ya anga ya Ukraine, haribu tena tuone
 
Mkulima wa Ukriane anashuru Mungu kajiokotea kifaru cha Urusi
IMG_20220731_204050_003.jpg
 
Kuna watu wanalaumu Azov kuwaua Urusi Kikatili. Hii Video inaonesha Wanajeshi wa Urusi wakimkata Sehemu za Siri Askari wa Ukraine. Hutasikia Urusi analaani. Sasa tunasema kila mtu ashinde Mechi zake. Hakuna kuoneana huruma. Nyie tukateni nyeti kwenye nchi yetu, na nyie tutajua cha kuwafanya tukiwakamata
View attachment 2310298
Ahaaa. Kumbe mkuki kwa nguruwe kwa binadamu....
Aisee; Kama ndo hivyo, Napendekeza wasionewe huruma hata kidogo wakikamatwa.
 
Mkuu; Usiaminishwe Umbeya na Ubuyu wa maneno ya kuokoteza mitaani(Vijiweni) au kule kwenye uzi wenu yasiyo na Ushahidi wowote, wala chanzo na Uthibitisho wowote. Sikuambii uje huku mkuu, La; bali nakutanabahisha unapopata Taarifa yoyote jaribu kwanza kuihakiki ukweli wake - ingekuwa ni mahakamani mzee, unafungwa leo-leo kwa mtindo huo wa "Nimesikia..., Nimeambiwa..."
Sasa kama siyo kweli. Wao Ukraine wamefanya kipi nchini kwao chenye uhalisia? Akati ukraine mateka tu karibu 20,000. Col. Wa USA amesema jana Ukraine ina poteza nguvu kazi mara 60 zaidi. Minimum ni wanajeshi 200 wa Ukraine hufa kwa siku. Urusi daily ina songa mbele. Na hapo wapo nchi 30. Au wame komboa eneo lao lipi? Ndio mjifariji
 
Rejea ramani ya maendeleo ya vita ilvyokuwa tangu Febr. 2022 hadi June 2022
Yaani hata kisiwa cha nyoka juzi hukusoma Warusi wamekimbia na Ukraine wakapandisha bendera yao? Huna habari na uhamishaji wa vifaa-vita vya thamani vya Mrusi kutoka Crimea?
Hayo ni baadhi tu ya maeneo na vithibitisha vipo. Aidha kama ni kweli kwa siku wanajeshi wa Ukraine 200 hufa, tupige hesabu la mezani tangu tar.14 Febr hadi 30 Julai 2022 ni takriban siku 162. Kwa hiyo 162 x 200 Ukraine ameshapoteza wanajeshi 32,400.Je, ni kweli?? Hebu toa Takwimu za wanajeshi wa Urusi wanaokufa kwa siku tulinganishe ili tuweze kutoa maamuzi sahihi zaidi mkuu. Ni hayo tu.
 
Unategemea mpiga porojo atakuja na takwimu au uthibitisho, thubutu.
 
Rejea ramani ya maendeleo ya vita ilvyokuwa tangu Febr. 2022 hadi June 2022
Yaani hata kisiwa cha nyoka juzi hukusoma Warusi wamekimbia na Ukraine wakapandisha bendera yao? Huna habari na uhamishaji wa vifaa-vita vya thamani vya Mrusi kutoka Crimea?
Hayo ni baadhi tu ya maeneo na vithibitisha vipo. Aidha kama ni kweli kwa siku wanajeshi wa Ukraine 200 hufa, tupige hesabu la mezani tangu tar.14 Febr hadi 30 Julai 2022 ni takriban siku 162. Kwa hiyo 162 x 200 Ukraine ameshapoteza wanajeshi 32,400.Je, ni kweli?? Hebu toa Takwimu za wanajeshi wa Urusi wanaokufa kwa siku tulinganishe ili tuweze kutoa maamuzi sahihi zaidi mkuu. Ni hayo tu.
Unapenda kujifariji na vitu vya kijinga. Takwimu za Ukraine eti by April ilikuwa imeua wanajeshi wa Russia 35,000 huo uwezo autoe wapi? CIA ina ripoti 15,000 by July. Ukraine by July ina ripoti 41,000. Huo uwezo Ukraine haina. Na maeneo yao yote yana piga kura ya kujitenga hayarudi jumla. Kisiwa hicho UN iliomba Russia ikiachie kwa ajili ya kuruhusu usafirishaji wa mazao. Urusi ili ondoka siku 3 baadae ndio Ukraine ika enda pale. Mnafurahisha kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nakusikitikia kwa kuwa unampigia Mbuzi gitaa, warusi wa kwa mtogole waache wapite tu
 
Unapenda kujifariji na vitu vya kijinga. Takwimu za Ukraine eti by April ilikuwa imeua wanajeshi wa Russia 35,000 huo uwezo autoe wapi? CIA ina ripoti 15,000 by July. Ukraine by July ina ripoti 41,000. Huo uwezo Ukraine haina. Na maeneo yao yote yana piga kura ya kujitenga hayarudi jumla. Kisiwa hicho UN iliomba Russia ikiachie kwa ajili ya kuruhusu usafirishaji wa mazao. Urusi ili ondoka siku 3 baadae ndio Ukraine ika enda pale. Mnafurahisha kweli[emoji1787][emoji1787][emWarus
Unapenda kujifariji na vitu vya kijinga. Takwimu za Ukraine eti by April ilikuwa imeua wanajeshi wa Russia 35,000 huo uwezo autoe wapi? CIA ina ripoti 15,000 by July. Ukraine by July ina ripoti 41,000. Huo uwezo Ukraine haina. Na maeneo yao yote yana piga kura ya kujitenga hayarudi jumla. Kisiwa hicho UN iliomba Russia ikiachie kwa ajili ya kuruhusu usafirishaji wa mazao. Urusi ili ondoka siku 3 baadae ndio Ukraine ika enda pale. Mnafurahisha kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
yaan umeandika ww ila aibu naona mm, aisee unaibsha ukoo kaa kmya kwa ktu uschokjua kulko kuiabka namna hii dah, halaf hakna ulazma wa kjbu ndgu maana aibu hii sio kwa aibu hii
 
Urusi muda mwingine wanakera sana, hii vita watashindwa kwa ujinga wao wa kutotumia silaha nzito kumaliza hii vita.

Au Urusi hana hizo silaha nzito kama tunavyoaminishwa?

Anaruhusuje wanajeshi wake wanateketea kwa wingi hivyo?

Anaruhusuje eneo wanaloteka, linakombolewa tena?

Hii vita ukraine inakuwa magofu, imeanguka kiuchumi, watu wanakufa ila Urusi na yeye anapata hasara kubwa sana kupoteza idadi ya wanajeshi wengi, vifaa n.k.

Gap analotoa Urusi kwa ukraine kujipanga, kupokea misaada ya vita na mafunzo, litamcost sana Urusi.

Na sijawahi kuona vita ambayo unampa adui nafasi ya kujipanga halafu akurudishe tena nyuma.

Hii vita ni ya kijinga sana.
Pole sana Mkuu, Urusi hawana Silaha nzito. Urusi walijua wakiingiza Mzigoni S-400 Triumf, ambapo walianza na S-300 PMU-3, watapindua meza. Sasa zilipoletwa zikazidiwa na HIMARS tu..

Urusi wana vifaa vingi vya kijeshi vilivyopitwa na wakati. Vifaru ndege na mifumo ya kijeshi ipo mingi. Ila sasa ni analojia. Mmarekani anakuja na Digital.

Vifaa Urusi analingia, wanarusha kombora linawarudia, analenga kupiga Tanga Kombora linaenda Lindi. Ni shiida
 
Unapenda kujifariji na vitu vya kijinga. Takwimu za Ukraine eti by April ilikuwa imeua wanajeshi wa Russia 35,000 huo uwezo autoe wapi? CIA ina ripoti 15,000 by July. Ukraine by July ina ripoti 41,000. Huo uwezo Ukraine haina. Na maeneo yao yote yana piga kura ya kujitenga hayarudi jumla. Kisiwa hicho UN iliomba Russia ikiachie kwa ajili ya kuruhusu usafirishaji wa mazao. Urusi ili ondoka siku 3 baadae ndio Ukraine ika enda pale. Mnafurahisha kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ushakalilishwa ujinga. Jipe muda kujisomea ufute huo ujinga uliokujaa kuhusu vita ya Ukraine. Kwanini uambiwe? Hujui kusoma au huoni? Mnatia huruma. Wewe ni moja sitohangaika hata kukunukuu sababu unaongea kwa ushabiki. Rudini kwenye thread yenu mkadanganyane. Hii thread sio level yako. Sababu unasikia kile unachopenda kusikia. Tunawauliza kwanini Maghala yenu yanalipuliwa wakati Mnao ulinzi wa anga hamjibu. Tukiwauliza kwanini hamsongi mbele hamjibu, tukiwauliza kama mnao uwezo kwanini mnaenda kuomba Silaha ndogo kama Drone huko Uaraabuni hamjibu. Tukiuliza kwanini Majenerali wenu wanakufa kama sisimizi mnasema uongo. Tuacheni sisi tuhabalishane. Sio lazima utusome wala uchangie.
 
Acha na huyo mjinga, ujinga umejaa kichwani na anautolea makalioni
 
Back
Top Bottom