Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wanajeshi wa Urusi wanalalamikiwa kwa kumuua mwenzao wakati wa kuretreat. Wanadai alikuwa analalamika kuumia hadi anatoa sauti kwa nguvu, wakaona watafanya Ukraine wajue walipo ndo wakampiga ya kichwa.

Kwanini wasingembeba kwa machela?
View attachment 2310177
Majamaa ni makatili kweli kweli. Yaan hawana hata zile sindano za kupumbaza mtu asiyasikie maumivu? Basi pia hawana hata ubunifu (Under field conditions). Kwa nini wasitumie hata hayo mapombe yao makali wanayokwenda nayo huko vitani?
Hawana Umoja (Solidarity) wakati wa hali tete uwanja wa medani.
 
Mjomba HIMARS anaogopwa na warusi balaa. Wakisikia kakohoa wanachanganyikiwa. 😂😂😂
Lazima wachanganyikiwe na kuvurugikiwa akili kwani hawana uwezo na hiyo kitu - wamebaki tu kukubaliana na matokeo. Aisee, Mrusi hatokaa aisahau hii vita milele.
 
Natamani kusikia Crimea imerudi Ukraine.
Na pia natamani vita iishe Ukraine akiwa ameshinda (Ameibuka kidedea) na Mrusi arudi kwake akauguze majeraha yatokanayo na Ujinga wake na Ubabe wa kuvamia nchi za wenzake(Ukraine) bila sababu.
 
Eti Ukraine hana uwezo wa kuua mwanajeshi hata mmoja 🤣🤣🤣
IMG_20220731_195717_264.jpg
 
Majamaa ni makatili kweli kweli. Yaan hawana hata zile sindano za kupumbaza mtu asiyasikie maumivu? Basi pia hawana hata ubunifu (Under field conditions). Kwa nini wasitumie hata hayo mapombe yao makali wanayokwenda nayo huko vitani?
Hawana Umoja (Solidarity) wakati wa hali tete uwanja wa medani.
Hayana hata Morphine
 
Na pia natamani vita iishe Ukraine akiwa ameshinda (Ameibuka kidedea) na Mrusi arudi kwake akauguze majeraha yatokanayo na Ujinga wake na Ubabe wa kuvamia nchi za wenzake(Ukraine) bila sababu.
Dalili zote zimeonekana kuwa Ukraine anashinda vita hii. Angalia Kherson muda wowote inarudi. Rais kutangaza wananchi waondoke Donetsk maana yake wanataka kumaliza kazi mapema. Unajua kupigana ndani ya nchi yako maeneo ya makazi ni ngumu sana maana unaogopa kuua raia wako.
 
Hii vita Mrusi hawezi kushinda. Kwa uwezo aliokuwa anadanganya anao, alitakiwa sasa hivi awe anapigana Kyov sio Kherson sijui Donbas. Luhansk, Donbas Kherson ni mpakani mwa Ukrusi, so Wanarusha Makombora kutokea ndani ya Urusi. Tunahesabu siku ya 15 Urusi haijateka wala kijiji. Acha kuteka. Haijasogea mbele hata rula moja. Sana sana tunaona wanarudi nyuma.
 
Hawa Walijifanya wanakuja kuwaokoa wenzao, bila kujua ni mtego.🤣🤣🤣

Yaani Unampiga Adui halafu unajifanya kukimbia, kumbe wenzako wanabaki. Wakija kuchukua maiti, mnawamaliza wote. Ndo maana Urusi wanaogopa kuja chukua miili ya wanajeshi wao. Hata uwabembeleze vipi, hawaji
 
Nimeona wanarusha makombora kutokea Crimea kuelekea Kherson. Maeneo mengi ya Kherson naona wana retreat.
Hii vita Mrusi hawezi kushinda. Kwa uwezo aliokuwa anadanganya anao, alitakiwa sasa hivi awe anapigana Kyov sio Kherson sijui Donbas. Luhansk, Donbas Kherson ni mpakani mwa Ukrusi, so Wanarusha Makombora kutokea ndani ya Urusi. Tunahesabu siku ya 15 Urusi haijateka wala kijiji. Acha kuteka. Haijasogea mbele hata rula moja. Sana sana tunaona wanarudi nyuma.
 
Eti Ukraine hana uwezo wa kuua mwanajeshi hata mmoja 🤣🤣🤣
View attachment 2310257
Kama kuna mtu mwenye mawazo hayo basi huyo amefilisika kabisa kimawazo. Yaani ameshindwa kabisa hata kuelewa ni nini maana ya vita? au anadhani ni yale maigizo e.g. ya akina Schwarzeneger ambapo Sterling siku zote hafi? Hata hizo chata "Z" hazioni kwenye mavazi ya maiti?
 
Wanajeshi wa Urusi wakiwa kwenye Mikono salama ya Azov. Hii naweka before and after🤣🤣
 
Dalili zote zimeonekana kuwa Ukraine anashinda vita hii. Angalia Kherson muda wowote inarudi. Rais kutangaza wananchi waondoke Donetsk maana yake wanataka kumaliza kazi mapema. Unajua kupigana ndani ya nchi yako maeneo ya makazi ni ngumu sana maana unaogopa kuua raia wako.
That's very good logic. Hii ni plan nzuri kwani kuhama huko ni kwa muda tu kwani baada ya "kazi" kumalizika watarudi kuendelea na maisha. Safi sana.
 
Kuna watu wanalaumu Azov kuwaua Urusi Kikatili. Hii Video inaonesha Wanajeshi wa Urusi wakimkata Sehemu za Siri Askari wa Ukraine. Hutasikia Urusi analaani. Sasa tunasema kila mtu ashinde Mechi zake. Hakuna kuoneana huruma. Nyie tukateni nyeti kwenye nchi yetu, na nyie tutajua cha kuwafanya tukiwakamata
Screenshot_20220731-202455.png
 
Back
Top Bottom