OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Nakazia. Na anayostahili.Hii inaitwa "MILAZO" . Mvamizi anapata bakishishi yake halali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia. Na anayostahili.Hii inaitwa "MILAZO" . Mvamizi anapata bakishishi yake halali.
Dah! Jamaa wamechomoa. Lakini hata hivyo Vifaa hawawezi kubeba - Watagawa kwa Ukraine bila shuruti.Wakuu, Urusi baada ya kuona daraja la Antonovsky limebomolewa, wameogopa kuzingirwa, wameamua kuanza kuretreat. Wanaelekea Crimea. Ila daraja ndo Vifaru havipiti tena.. Wanavuka kwa Miguu. Wameanza kuikimbia Kherson wanaelekea Peninsula ya Crimea. Donbas napo hapakaliki.
View attachment 2306106
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheeeeka saana.Au Ikungulyabashashi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Bahati yake angekua kakufa kwa AzovKamanda wa Urusi wa battalion ya 35th motorized infantry brigade katika mjini wa Oleysk(Olevs'k), Major Leonid Shchetkin, tumemdaka. Yupo Korokoroni, wangekuwa Azov washaua. Huyu ndo boss wa Vifaru vyote Mkoani Zhytomyr. Urusi watajua hawajui
Kabla ya kudakwa walokufa hawajesabiki.. Ilichukua masaa 4
View attachment 2306254View attachment 2306256View attachment 2306257
AWakati wa utawala wa Medvedev, Putin alikuwa Waziri Mkuu na sasa Rais ni Putin na Medvedev ndiye Waziri Mkuu. Muda wote anajihisi kufa, ana ulinzi kuliko kitu chochote🤣🤣
Dmitry Medvedev mwenyewe ndo huyu
View attachment 2307547