Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wewe kusanya mapicha tu mkuu. Huweki hata report za AFU au MoD ya Ukraine. Kazi kuokoteza mapicha tu
 
Mkuu, umeelewa kilichopigiwa mahesabu hapo? Hebu rudia kusoma kwa makini halafu urekebishe usemi wako kwamba eti by April ilikuwa imeua wanajeshi wa Russia 35,000...
Halafu unasema CIA inaripoti 15,000........Ukraine inaripoti 41,000.... Je, hizo Takwimu zinahusu
wanajeshi wa upande gani? Mkuu, kuwa makini na unachoandika ili wasomaji wako wakuelewe.
 
Afadhali umemjibu ki-utu uzima manake hapa nilitaka kumfedhehesha...........
 
Wakuu achaneni naye anawapotezea focus bure figganigga OSEFUKANY
Pro russia wanameza propaganda kama zilivo.

Mmoja kule kwenye uzi wao aliandika tayari China kashavamia Taiwan na ni mtu wanaemkubali tu kwenye ule uzi nikajua wote ni mazuzu tu.
 
Wewe kusanya mapicha tu mkuu. Huweki hata report za AFU au MoD ya Ukraine. Kazi kuokoteza mapicha tu
Hahahaaa, mzee WAZO2010 wewe umeleta na kuweka hizo riport za AFU au Mod ya Ukraine? au umeziweka kwenye ule uzi wenu kwani unajua kwamba huko hatufikagi kusoma porojo zisizo na mashiko?
Kazilete/Leta hapa halafu uone jinsi zitakavyochakatwa na kuchambuliwa na uongo wenu kuwekwa bayana halafu uone utakavyoumbuka. Kama wamekutuma kuja huku kuchokoza rudi kule kawaambie ulichojifunza au mkadanganyane tu. Huku umepotea njia.
 
Wapo nchi 30 wanapigana au kufanyaje?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu huu mzigo wa German hauko sawa na ule wa US? Naona German sahv anaanza kufunguka taratibu sio kama mwanzo. View attachment 2311175
Putin atoe majeshi haraka Hawa west kuna kitu wamekidhamiria kwa urusi ambacho sio kizuri

Putin asifikiri anaweza kupambana na Nato na akashjnda anakudanganya

Inavoonesha Hawa nato wanataka wafike hadi Moscow kuichukua gesi kwa nguvu
 
Hii ndo inaitwa OTR-21 Tochka, tactical ballistic missile.
View attachment 2311935
Zinaleta raha, maana Russia alijidai sana na kujiona ana nguvu kuliko wengine. Hakujua kuwa Pentagon na NATO wana akili kubwa kuzidi yeye.

Siku akijidai kutumia silaha nzito zaidi ya HIMARS, watamjibu kwa kutoa machine za kisasa zaidi.


Lengo la Pentagon na NATO pamoja na washirika ni kumaliza Russia nguvu za kiuchumi na kijeshi. Sasa hivi hawaja concentrate kwenye vita bali wamewekeza nguvu kubwa kwenye kummaliza nguvu za kiuchumi.

Akishalegea wanamwingizia kama kapakwa KY vile. Wanaume wanajinoma kwa raha zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…