Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ushakalilishwa ujinga. Jipe muda kujisomea ufute huo ujinga uliokujaa kuhusu vita ya Ukraine. Kwanini uambiwe? Hujui kusoma au huoni? Mnatia huruma. Wewe ni moja sitohangaika hata kukunukuu sababu unaongea kwa ushabiki. Rudini kwenye thread yenu mkadanganyane. Hii thread sio level yako. Sababu unasikia kile unachopenda kusikia. Tunawauliza kwanini Maghala yenu yanalipuliwa wakati Mnao ulinzi wa anga hamjibu. Tukiwauliza kwanini hamsongi mbele hamjibu, tukiwauliza kama mnao uwezo kwanini mnaenda kuomba Silaha ndogo kama Drone huko Uaraabuni hamjibu. Tukiuliza kwanini Majenerali wenu wanakufa kama sisimizi mnasema uongo. Tuacheni sisi tuhabalishane. Sio lazima utusome wala uchangie.
Wewe kusanya mapicha tu mkuu. Huweki hata report za AFU au MoD ya Ukraine. Kazi kuokoteza mapicha tu
 
Unapenda kujifariji na vitu vya kijinga. Takwimu za Ukraine eti by April ilikuwa imeua wanajeshi wa Russia 35,000 huo uwezo autoe wapi? CIA ina ripoti 15,000 by July. Ukraine by July ina ripoti 41,000. Huo uwezo Ukraine haina. Na maeneo yao yote yana piga kura ya kujitenga hayarudi jumla. Kisiwa hicho UN iliomba Russia ikiachie kwa ajili ya kuruhusu usafirishaji wa mazao. Urusi ili ondoka siku 3 baadae ndio Ukraine ika enda pale. Mnafurahisha kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu, umeelewa kilichopigiwa mahesabu hapo? Hebu rudia kusoma kwa makini halafu urekebishe usemi wako kwamba eti by April ilikuwa imeua wanajeshi wa Russia 35,000...
Halafu unasema CIA inaripoti 15,000........Ukraine inaripoti 41,000.... Je, hizo Takwimu zinahusu
wanajeshi wa upande gani? Mkuu, kuwa makini na unachoandika ili wasomaji wako wakuelewe.
 
Ushakalilishwa ujinga. Jipe muda kujisomea ufute huo ujinga uliokujaa kuhusu vita ya Ukraine. Kwanini uambiwe? Hujui kusoma au huoni? Mnatia huruma. Wewe ni moja sitohangaika hata kukunukuu sababu unaongea kwa ushabiki. Rudini kwenye thread yenu mkadanganyane. Hii thread sio level yako. Sababu unasikia kile unachopenda kusikia. Tunawauliza kwanini Maghala yenu yanalipuliwa wakati Mnao ulinzi wa anga hamjibu. Tukiwauliza kwanini hamsongi mbele hamjibu, tukiwauliza kama mnao uwezo kwanini mnaenda kuomba Silaha ndogo kama Drone huko Uaraabuni hamjibu. Tukiuliza kwanini Majenerali wenu wanakufa kama sisimizi mnasema uongo. Tuacheni sisi tuhabalishane. Sio lazima utusome wala uchangie.
Afadhali umemjibu ki-utu uzima manake hapa nilitaka kumfedhehesha...........
 
Wakuu achaneni naye anawapotezea focus bure figganigga OSEFUKANY
Pro russia wanameza propaganda kama zilivo.

Mmoja kule kwenye uzi wao aliandika tayari China kashavamia Taiwan na ni mtu wanaemkubali tu kwenye ule uzi nikajua wote ni mazuzu tu.
 
Wewe kusanya mapicha tu mkuu. Huweki hata report za AFU au MoD ya Ukraine. Kazi kuokoteza mapicha tu
Hahahaaa, mzee WAZO2010 wewe umeleta na kuweka hizo riport za AFU au Mod ya Ukraine? au umeziweka kwenye ule uzi wenu kwani unajua kwamba huko hatufikagi kusoma porojo zisizo na mashiko?
Kazilete/Leta hapa halafu uone jinsi zitakavyochakatwa na kuchambuliwa na uongo wenu kuwekwa bayana halafu uone utakavyoumbuka. Kama wamekutuma kuja huku kuchokoza rudi kule kawaambie ulichojifunza au mkadanganyane tu. Huku umepotea njia.
 
Sasa kama siyo kweli. Wao Ukraine wamefanya kipi nchini kwao chenye uhalisia? Akati ukraine mateka tu karibu 20,000. Col. Wa USA amesema jana Ukraine ina poteza nguvu kazi mara 60 zaidi. Minimum ni wanajeshi 200 wa Ukraine hufa kwa siku. Urusi daily ina songa mbele. Na hapo wapo nchi 30. Au wame komboa eneo lao lipi? Ndio mjifariji
Wapo nchi 30 wanapigana au kufanyaje?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu huu mzigo wa German hauko sawa na ule wa US? Naona German sahv anaanza kufunguka taratibu sio kama mwanzo.
Screenshot_20220801-171453.jpg
 
Wakuu huu mzigo wa German hauko sawa na ule wa US? Naona German sahv anaanza kufunguka taratibu sio kama mwanzo. View attachment 2311175
Putin atoe majeshi haraka Hawa west kuna kitu wamekidhamiria kwa urusi ambacho sio kizuri

Putin asifikiri anaweza kupambana na Nato na akashjnda anakudanganya

Inavoonesha Hawa nato wanataka wafike hadi Moscow kuichukua gesi kwa nguvu
 
Hii ndo inaitwa OTR-21 Tochka, tactical ballistic missile.
View attachment 2311935
Zinaleta raha, maana Russia alijidai sana na kujiona ana nguvu kuliko wengine. Hakujua kuwa Pentagon na NATO wana akili kubwa kuzidi yeye.

Siku akijidai kutumia silaha nzito zaidi ya HIMARS, watamjibu kwa kutoa machine za kisasa zaidi.

Lengo la Pentagon na NATO pamoja na washirika ni kumaliza Russia nguvu za kiuchumi na kijeshi. Sasa hivi hawaja concentrate kwenye vita bali wamewekeza nguvu kubwa kwenye kummaliza nguvu za kiuchumi.

Akishalegea wanamwingizia kama kapakwa KY vile. Wanaume wanajinoma kwa raha zao
 
Back
Top Bottom