Mashine inanyanyuka, inatema kitu, halafu inashuka chini taratibu kama ile kitu ya kwenye suruali.PzH 2000 155mm self-propelled howitzer
View attachment 2311509
una maana gani hapa mkuu.
Hawa ni katsapsuna maana gani hapa mkuu.
Ni picha za miili ya mashujaa wetu au mizoga ya wavamizi.
Hebu nifafanulie kidogo.
👏👏👏 inabidi waje wachukie mizoga yao. Katsaps they deserve and got good rewards.Hawa ni katsaps
Ni kweli, mambo yamekua mengi. Ila nitatumia masaa matatu ya usiku au mchana kupost kila taarifa Muhimu.Huu uzi leo hauna updates nyingi watu wapo kwwnye uzi wa Taiwan na China.
US the super power naona Russia wanalalamika kwamba Us anaingilia vita moja kwa moja. Wameanza kulia lia. Us anapiga mwarabu yule Ayman anapiga china huko na Russia anapata tabu kweli Us ni super power.
Uzi umesimamq mi mwenyewe nikichungulia naona hakuna updates watu wapo kwenye uzi wa Taiwan. Watarudi mkuu usijali.... wakuu vipi? Mbona huu uzi pendwa ume-stack? Dah!
Mkuu sidhani kama hii ina ukweli mauripol si ilikuwa bado mbali ingawa moto utatembezwa mpaka huko. Hawa nyani lazima wateme bungoNimeiona huko Twitter.. nasubiri taarifa zaidi.View attachment 2312466