Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hawa ni Orcs au Rashists wanejilaza wanaota jua Ukraine
IMG_20220802_192449_215.jpg
IMG_20220802_192454_702.jpg
 
Huu uzi leo hauna updates nyingi watu wapo kwwnye uzi wa Taiwan na China.

US the super power naona Russia wanalalamika kwamba Us anaingilia vita moja kwa moja. Wameanza kulia lia. Us anapiga mwarabu yule Ayman anapiga china huko na Russia anapata tabu kweli Us ni super power.
 
Ni kweli, mambo yamekua mengi. Ila nitatumia masaa matatu ya usiku au mchana kupost kila taarifa Muhimu.

Habari njema ni kwamba Urusi wapo hoi, hawaamini macho yao. Wameenda Congo, Uganda gabon kutafuta nguvu kazi ya Wanajeshi wameambulia patupu. Sasa wameanza kuuana wao kwa wao wakidai kusalitiana. Picha zinakuja soon. Ukiwa na swali waulize HIMARS na OSEFUKANY watakusaidia updates.
 
... wakuu vipi? Mbona huu uzi pendwa ume-stack? Dah!
 
Back
Top Bottom