Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Muuaji Putin alifikiri Ukraine ni kama Crimea!!!
 
Mkoani Sumy leo tarehe 30 Machi 2022, Urusi wamepigwa Ambushi nyingi sana..
 
Tarehe 31 Machi: Angalia Warusi wanavyokamatwa kama Kuku wa kisasa. Aliyejifanya jeuri na hataki kutii, akamiminiwa risasi
Your browser is not able to display this video.
 
30 Machi 2022, Urusi wameikimbia Kherkyiv baada ya kupokea kipigo kikali. Hapa kuna Vifaru aina ya T-72B3, DT-30, 7x MT-LBVM, 3x 9M336 missiles for the 9K333 Verba MANPADS nk.
 
Wanajeshi wa kujitolea wa Chechen wakisaisia kuilinda Ukraine hapa ni karibu na mji wa Kyiv.. Wanajeshi wa Urusi wamekimbia mbio wakaacha Viatu
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…