figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #441
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muuaji Putin alifikiri Ukraine ni kama Crimea!!!UAV Orlan-10( unmanned aerial vehicle) ya Urusi iliangushwa Mkoani Mykolaiv
View attachment 2158241
Na hizi ni ndge zilizodunguliwa. Hayo Mabomu ya 3 FAB-500, yalikuwa ndani ya ndege, ilipoanguka yakasambaa kila sehemu hapa ilikuwa Mkoa wa Chernihiv. Ndege ni Su-34.
The Sukhoi Su-34 is a Soviet-origin Russian
View attachment 2158246View attachment 2158247View attachment 2158249View attachment 2158250View attachment 2158251
Safiii sanaKuna watu watajiuliza, hiyo Silaha ya NLAW inayoangamiza Vifaru vya Urusi ipoje? Ni silaha inayobebeka, ina Kilo 11, inaweza kupiga umbali wa mita 600 kwa Sekunde mbili hadi 3.
View attachment 2167706View attachment 2167707View attachment 2167708View attachment 2167709View attachment 2167710View attachment 2167711View attachment 2167712View attachment 2167713View attachment 2167714View attachment 2167715
Hatari sanaHadi sasa hivi ndivyo Vifaa Urusi wamepoteza. Takwimu za 29 Machi 2022
View attachment 2168140
🤣🤣🤣🤣🤣Tarehe 30 Machi 2022 Urusi wanarudisha Mpira kwa kipa.
Wavamizi wa Ukraine wameamua kivikimbizia Vifaru vyao nchi jirani ya Belarus ili Wajipange upya. Hii ni baada ya kuona wanapoteza sana uwanja wa Vita
View attachment 2169164
🤣🤣🤣Muuaji Putin alifikiri Ukraine ni kama Crimea!!!
Ww njemba unabandikia propaganda nyingi za kizembe jemed!Tarehe 30 Machi 2022 Urusi wanarudisha Mpira kwa kipa.
Wavamizi wa Ukraine wameamua kivikimbizia Vifaru vyao nchi jirani ya Belarus ili Wajipange upya. Hii ni baada ya kuona wanapoteza sana uwanja wa Vita
View attachment 2169164
Ngoja kesho atasikia Kiev Iko chini ya warusiWw njemba unabandikia propaganda nyingi za kizembe jemed!
Wewe mrussia mweusi potea kwenye siredi haikuhusu....Ww njemba unabandikia propaganda nyingi za kizembe jemed!
Hainihusu vipi wakati umeniita mrussia?Wewe mrussia mweusi potea kwenye siredi haikuhusu....