figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #4,781
Oh My God! tumaini la kuishi (uhai)halipo tena na ukomo wa maisha umetimia - Salio limeisha. Kwa wengine ni siri kubwa sana ambayo ni Mungu pekee ndo anayeifahamu siku hiyo lakini kwa hawa jamaa wametunukiwa bahati ya kuifahamu ck hiyo walau inapokuwa zimebaki dakika chache tu kabla hawajapandishwa cheo na kuitwa MAREHEMU........Warusi mikononi mwa Azov, ndipo wqnapojua Mungu yupo. Hapo wanatubu dhambi zao sababu kiama chao kimefikaπ€£π€£π€£ ila Azov jamani
View attachment 2316634
Nadhani hajaamini kinachoendelea - ni kama ndoto vile. Hapo atajua kwamba Ukraine wana moyo wa huruma na ubinadamu Tofauti na Warusi ambao wanaua raia Waukraine haphazardly.Hatimaye Ukraine imemuachilia Chmonya kwa kubadilishana Wafungwa na Urusiπ€£π€£π€£. Mitandaoni alikuwa maarufu sana kwa muonekano wake. Kwamba ndo Uhalisia wa Warusi
View attachment 2316637
πππ wanapandishwa vyeo siyo.Oh My God! tumaini la kuishi (uhai)halipo tena na ukomo wa maisha umetimia - Salio limeisha. Kwa wengine ni siri kubwa sana ambayo ni Mungu pekee ndo anayeifahamu siku hiyo lakini kwa hawa jamaa wametunukiwa bahati ya kuifahamu ck hiyo walau inapokuwa zimebaki dakika chache tu kabla hawajapandishwa cheo na kuitwa MAREHEMU........
Sijui wanasali au wanatafakari πππNguruwe wa Urusi wakiwa chini ya Ulinzi
View attachment 2317331
Safi sana kwa kazi nzuri. Hawa hata kuwaita nguruwe umewapa hadhi ya juu sana. Hawa ni KengeNguruwe wengine hawa hapa wa Urusi. Urusi wana hali mbaya.. Wiki hii Ukraine imemaliza kwa kishindo
View attachment 2317334
Ndiyo mkuu; ni cheo kikubwa kwani ni lazima ukisotee.πππ wanapandishwa vyeo siyo.
Hopefully, nadhani sio chini ya ulinzi wa AZOV- Otherwise wajue salio la siku zao za kuishi limeisha.Nguruwe wa Urusi wakiwa chini ya Ulinzi
View attachment 2317331