Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wanaiona kiama yao imewadia mapema mno.
Ukiwavua suruali zao za combat unaweza kukuta kilo nzima ya uharo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Ukiwavua suruali zao za combat unaweza kukuta kilo nzima ya uharo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
Hahahahaaaaa. Mjomba wataharishaje wakati nasikia msosi umekata ndo maana wanaiba mpaka mboga ?
 
Wanajeshi wa Urusi walioamua wafe kwa mabomu. Hawakujua drone inawanyemeleaπŸ˜‚πŸ˜‚. Sio lazima wote wafe hapo hapo, wengine wanakufa hata baada ya masaa 6. Inategemeana na majeraha
Your browser is not able to display this video.
 
Meli nyingine 4 za Ukraine, Zimeondoka Odessa zikiwa zimebeba mazao ya Kilimo. Hili ndo lilikuwa dhumuni la kuhakikisha tunakomboa Kisiwa cha Snake ili tuwe huru na bandari yetu. Odessa ndo sehemu yenye Silaha nyingi za kuzuia Makombola. Japo ipo Mikani, Makombora mengi ya urusi yanaishia baharini japo kuna yanayofanikiwa kufika kwenye makazi ya watu
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…