figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #4,821
Angalia Kombora lilivyotua. Hapa ni Melitopil, Mkoani Zaporizhska. Kesho tutapost viwiliwili vya Warusi hadi walieKuna Habari kuwa HIMMARS imefyeka warusi 100 kwenye shambulio huko MelitopolView attachment 2317854
Kwamba maiti kambeba maiti......😅😅😅Wanajeshi wa Urusi walioamua wafe kwa mabomu. Hawakujua drone inawanyemelea😂😂. Sio lazima wote wafe hapo hapo, wengine wanakufa hata baada ya masaa 6. Inategemeana na majeraha
View attachment 2317831
Duh! Jamani, mbona Mrusi ananyanyasika mno na hizi drone?😂😂Drone ilivyomnyosha mrusi. Alitaka kulala, drone ikasema lala milele
View attachment 2317840
Haya.Waliokuwa wanalialia eti ngano.....Sasa waimbe NEEMA IMEFUNGULIWA.....Meli nyingine 4 za Ukraine, Zimeondoka Odessa zikiwa zimebeba mazao ya Kilimo. Hili ndo lilikuwa dhumuni la kuhakikisha tunakomboa Kisiwa cha Snake ili tuwe huru na bandari yetu. Odessa ndo sehemu yenye Silaha nyingi za kuzuia Makombola. Japo ipo Mikani, Makombora mengi ya urusi yanaishia baharini japo kuna yanayofanikiwa kufika kwenye makazi ya watu
View attachment 2317849
Waw. Sasa Hapo Mrusi lazma aombe poo.Brimstone Salvo ndani ya Ukraine. Hii ni attack missile
View attachment 2317853
Inauma sana. Napendekeza AZOV waimarishe na kuboresha upasuaji wa vichwa vya Wanajeshi wa Urusi pindi wakiwakamata. LEGION nao waimarishe ulipuaji wa miundombinu ya Warusi na ikiwezekana nao pia waanze chap kuwapasua vichwa Warusi. Inavoonekana huko tuendako mtindo utakuwa ni kupasuana vichwa tu sasa. Dah! Vita ni vita aisee.Hapa Urusi wakiwa wanawachinja Wanajeshi wa Ukraine kama Mbuzi. Halafu azov wakipasua watu Vichwa eti wanawalaumu. Tusilaumiane. Hii video sitaweka, naweka picha.. Hata wahusika tushawajua.. Kazi yao kuchinja kwa kisu binadamu wenzao. Azov hawawezi kubali, bora waitwe Magaidi tu
View attachment 2317912View attachment 2317913View attachment 2317914View attachment 2317915
United KingdomWaw. Sasa Hapo Mrusi lazma aombe poo.
Hiyo mashine ni ya kutoka wapi boss?