Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ukraine imeamua kuboresha na kubadilisha Magari yake aina ya BM-27 Uragans kuwa Bureviy MLRS system. Siku Urusi wakiilipua hii, utasikia tumeiteketeza HIMARS na waliomo ndani🤣🤣
IMG_20220808_122738_211.jpg
IMG_20220808_122740_394.jpg
IMG_20220808_122742_646.jpg
IMG_20220808_122744_850.jpg
IMG_20220808_122747_620.jpg
 
Hapa Urusi wakiwa wanawachinja Wanajeshi wa Ukraine kama Mbuzi. Halafu azov wakipasua watu Vichwa eti wanawalaumu. Tusilaumiane. Hii video sitaweka, naweka picha.. Hata wahusika tushawajua.. Kazi yao kuchinja kwa kisu binadamu wenzao. Azov hawawezi kubali, bora waitwe Magaidi tu
Screenshot_20220808-132823.png
Screenshot_20220808-132840.png
IMG_20220808_132903_625.jpg
IMG_20220808_132907_118.jpg
 
Haya Magari ya Urusi yameiba nafaka Ukraine kupeleka Urusi. Hayakufika salama. Hapa ni Crimea
 
Meli nyingine 4 za Ukraine, Zimeondoka Odessa zikiwa zimebeba mazao ya Kilimo. Hili ndo lilikuwa dhumuni la kuhakikisha tunakomboa Kisiwa cha Snake ili tuwe huru na bandari yetu. Odessa ndo sehemu yenye Silaha nyingi za kuzuia Makombola. Japo ipo Mikani, Makombora mengi ya urusi yanaishia baharini japo kuna yanayofanikiwa kufika kwenye makazi ya watu
View attachment 2317849
Haya.Waliokuwa wanalialia eti ngano.....Sasa waimbe NEEMA IMEFUNGULIWA.....
Brimstone Salvo ndani ya Ukraine. Hii ni attack missile
View attachment 2317853
Waw. Sasa Hapo Mrusi lazma aombe poo.
Hiyo mashine ni ya kutoka wapi boss?
 
Hapa Urusi wakiwa wanawachinja Wanajeshi wa Ukraine kama Mbuzi. Halafu azov wakipasua watu Vichwa eti wanawalaumu. Tusilaumiane. Hii video sitaweka, naweka picha.. Hata wahusika tushawajua.. Kazi yao kuchinja kwa kisu binadamu wenzao. Azov hawawezi kubali, bora waitwe Magaidi tu
View attachment 2317912View attachment 2317913View attachment 2317914View attachment 2317915
Inauma sana. Napendekeza AZOV waimarishe na kuboresha upasuaji wa vichwa vya Wanajeshi wa Urusi pindi wakiwakamata. LEGION nao waimarishe ulipuaji wa miundombinu ya Warusi na ikiwezekana nao pia waanze chap kuwapasua vichwa Warusi. Inavoonekana huko tuendako mtindo utakuwa ni kupasuana vichwa tu sasa. Dah! Vita ni vita aisee.
 
Back
Top Bottom