Inaelekea dreva aliona kifaru kimepata moto akaamua kukiingiza kwenye maji ili kipoe then baadae aendelee na kazi ππππββοΈπββοΈπββοΈKifaru cha Urusi aina ya T-80 kikiwa kinaogelea baada ya kulipuliwa
View attachment 2319618
Kazi iliyotukuka. Ngoja vita iishe. Tulikuwa na uhaba wa scraper sasa neema inazidi kushuka. πππππ€£π€£π€£
View attachment 2319625
Siku njema huonekana tangu asubuhi. Polepole kiburi na jeuri vinamwishia Mrusi.Warusi wameanza kuikimbia Crimea. Foleni ya Magari km 10 kutoka daraja la Crimea
View attachment 2319628
Kichwa chake kipo mbele dk.5; Yy kama Amiri jeshi mkuu, mbona hajifukuzi ilhali ni mtu wa zamani - ame-expire katika mbinu za kivita.Putin anaishia kufukuza fukuza majenerali.
Na iwe hivyo. Amen!Mkuu kulingana na tathmini ya idara ya kijasusi ya Ukraine wanasema mwezi huu tusitarajie mambo makubwa, mwezi october ndio dunia itashangazwa na ukraine na anasema kufikia mwezi december kutakuwa na mapigani kidogo sana wakati anatarajia ifikapo 2023 urusi atakuwa kasharudi nyumbani kwa aibu mkuu.
Short Drama:Safi sana. Bora vita iendelee hata kwa miezi 6 mingine ijayo ili kumpunguza nguvu za kijeshi.
Pentagon, NATO na washirika wake waliona mbali sana. Walikuwa wanajua namna ya kushughulika na Fashisti na walifanya assessment ya kutosha kabla hawajakaa kwenye drawing table.
Sasa ndo tunaona matunda yake na tutaendelea kuona. Maana mgonjwa anaongezewa dozi taratibu. Dozi ya HIMARS na zile Drone inayotumika kumtibu mgonjwa ikipungua nguvu, dozi inayokuja itammaliza kabisa nguvu fashisti. Let us wait and see.
Pro Russia siku hizi hata ka takwimu ka kuokoteza hawana kabisa. Hata ka picha hakuna kabisa. Wamepigwa ganzi na figganigga.
ππππππ Chmonya hawatawasahau HIMARS na Drones.Short Drama:
Vijana: Hodi- hodi kwa HIMARS na Drones
HIMARS na Drones: Karibuni vijana, mnasemaje, mbona asubuhi-asubuhi namna hii vp. kwema?
Vijana: Heshima kwenu Wakuu. Samahani, tumemleta tumemrudisha tena mgonjwa wetu tunaona hali yake inazidi kuwa mbaya licha ya dozi kali mliompa tangu February 2022
HIMARS na Drones: Ama!! huyu mgonjwa wenu (Mrusi) ni sugu etie?. Sasa hamueni ninyi wenyewe -tummalize au tumbadilishie dawa?
Vijana: MALIZA KABISA MZEEE, MMalizeeeee;Tumechoka naye huyo - MALIZAAAAAAA.
Dah! Hapa kwa mbali Nawaona Pro Russia wamekaa Tuli-kimya kabisa utadhani wapo chooni wanapata poo.
Wapo kule kijiweni kwao wanadanganyana eti Mrusi amedukua mfumo wa mawasiliano wa Kampuni ya Lockheed inayounda HIMARS kwamba mawasiliano yote yamevurugwa (yamepata virus) na hivyo kila kitu ni zii na hakuna antvirus hadi sasa.ππππππ Chmonya hawatawasahau HIMARS na Drones.
Wanapeana faraja tu. Ni mjinga tu ndo atakubaliana na porojo zinazosemwa. Wanafikiri Lockheed ni mzembe kiasi hicho.Wapo kule kijiweni kwao wanadanganyana eti Mrusi amedukua mfumo wa mawasiliano wa Kampuni ya Lockheed inayounda HIMARS kwamba mawasiliano yote yamevurugwa (yamepata virus) na hivyo kila kitu ni zii na hakuna antvirus hadi sasa.
Lakini cha ajabu ni kwamba mbabe wao huyo(Mrusi) anatimua mbio kule Crimea na kiwanja cha ndege ikiwa ni pamoja na ndege zilizokuwapo hapo uwanjani zimeteketezwa na HIMARS. Sasa wapi na wapi hawa pro Russia na uongo wao.
Inauma hiyoMrusi alipojaribu kukimbia. Akakutana na kombora lililofukiwa barabarani
View attachment 2316257
Ukisikia mtu kichwa ngumu basi ndo huyo. Analinywa kama alivyoligema.Wanapeana faraja tu. Ni mjinga tu ndo atakubaliana na porojo zinazosemwa. Wanafikiri Lockheed ni mzembe kiasi hicho.
kwani wakati anaenda kuvamia hakujua kuwa Lockheed ametengeneza HIMARS na Silaha zingine zinazotumia technology ya kisasa.
Mbona Pentagon na NATO walimuonya asiivamie Ukraine. Na siku chache kabla ya kuvamia mzee Biden alimpigia simu kumsihi asifanye uvamizi lakini akakaidi. Fashisti hakuyajua yote hayo?
Yajayo yanapendeza zaidi kwa Ukraine.Inauma hiyo
Huduma watazirejesha wengine kwani yeye (Mrusi)atakuwa hayupo.Ukraine kapiga daraja lingine la kakhovka mjini Kherson na kulifanya lisiwe na matumizi wakati huohuo tathmini za mlipuko wa crimea jana zinasema watu 60 wamekufa na pilots 100 kujeruhiwa inaweza kuchukua mwaka mzima kurejesha huduma za ndege kama awaliView attachment 2320211
Si na ww ukaokote halafu utuletee huku mkuu? Kwani kuna shida gani?Mnadanganyana tu na vi clip vya kuokota
Kwani unaumia?Mnadanganyana tu na vi clip vya kuokota
NdiooooooUrusi wamezamisha kwenye maji kifaru chao. Wameona bora kufa kwa maji kuliko Javelin [emoji1787][emoji1787]
View attachment 2320266