Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mkuu kulingana na tathmini ya idara ya kijasusi ya Ukraine wanasema mwezi huu tusitarajie mambo makubwa, mwezi october ndio dunia itashangazwa na ukraine na anasema kufikia mwezi december kutakuwa na mapigani kidogo sana wakati anatarajia ifikapo 2023 urusi atakuwa kasharudi nyumbani kwa aibu mkuu.
Na iwe hivyo. Amen!
 
Safi sana. Bora vita iendelee hata kwa miezi 6 mingine ijayo ili kumpunguza nguvu za kijeshi.

Pentagon, NATO na washirika wake waliona mbali sana. Walikuwa wanajua namna ya kushughulika na Fashisti na walifanya assessment ya kutosha kabla hawajakaa kwenye drawing table.

Sasa ndo tunaona matunda yake na tutaendelea kuona. Maana mgonjwa anaongezewa dozi taratibu. Dozi ya HIMARS na zile Drone inayotumika kumtibu mgonjwa ikipungua nguvu, dozi inayokuja itammaliza kabisa nguvu fashisti. Let us wait and see.

Pro Russia siku hizi hata ka takwimu ka kuokoteza hawana kabisa. Hata ka picha hakuna kabisa. Wamepigwa ganzi na figganigga.
Short Drama:
Vijana: Hodi- hodi kwa HIMARS na Drones
HIMARS na Drones: Karibuni vijana, mnasemaje, mbona asubuhi-asubuhi namna hii vp. kwema?
Vijana: Heshima kwenu Wakuu. Samahani, tumemleta tumemrudisha tena mgonjwa wetu tunaona hali yake inazidi kuwa mbaya licha ya dozi kali mliompa tangu February 2022
HIMARS na Drones: Ama!! huyu mgonjwa wenu (Mrusi) ni sugu etie?. Sasa hamueni ninyi wenyewe -tummalize au tumbadilishie dawa?
Vijana: MALIZA KABISA MZEEE, MMalizeeeee;Tumechoka naye huyo - MALIZAAAAAAA.
Dah! Hapa kwa mbali Nawaona Pro Russia wamekaa Tuli-kimya kabisa utadhani wapo chooni wanapata poo.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Chmonya hawatawasahau HIMARS na Drones.
 
Wapo kule kijiweni kwao wanadanganyana eti Mrusi amedukua mfumo wa mawasiliano wa Kampuni ya Lockheed inayounda HIMARS kwamba mawasiliano yote yamevurugwa (yamepata virus) na hivyo kila kitu ni zii na hakuna antvirus hadi sasa.
Lakini cha ajabu ni kwamba mbabe wao huyo(Mrusi) anatimua mbio kule Crimea na kiwanja cha ndege ikiwa ni pamoja na ndege zilizokuwapo hapo uwanjani zimeteketezwa na HIMARS. Sasa wapi na wapi hawa pro Russia na uongo wao.
 
Wanapeana faraja tu. Ni mjinga tu ndo atakubaliana na porojo zinazosemwa. Wanafikiri Lockheed ni mzembe kiasi hicho.

kwani wakati anaenda kuvamia hakujua kuwa Lockheed ametengeneza HIMARS na Silaha zingine zinazotumia technology ya kisasa.

Mbona Pentagon na NATO walimuonya asiivamie Ukraine. Na siku chache kabla ya kuvamia mzee Biden alimpigia simu kumsihi asifanye uvamizi lakini akakaidi. Fashisti hakuyajua yote hayo?
 
Ukraine kapiga daraja lingine la kakhovka mjini Kherson na kulifanya lisiwe na matumizi wakati huohuo tathmini za mlipuko wa crimea jana zinasema watu 60 wamekufa na pilots 100 kujeruhiwa inaweza kuchukua mwaka mzima kurejesha huduma za ndege kama awali
IMG_20220810_172200_452.jpg
 
Wanapeana faraja tu. Ni mjinga tu ndo atakubaliana na porojo zinazosemwa. Wanafikiri Lockheed ni mzembe kiasi hicho.

kwani wakati anaenda kuvamia hakujua kuwa Lockheed ametengeneza HIMARS na Silaha zingine zinazotumia technology ya kisasa.

Mbona Pentagon na NATO walimuonya asiivamie Ukraine. Na siku chache kabla ya kuvamia mzee Biden alimpigia simu kumsihi asifanye uvamizi lakini akakaidi. Fashisti hakuyajua yote hayo?
Ukisikia mtu kichwa ngumu basi ndo huyo. Analinywa kama alivyoligema.
 
Ukraine kapiga daraja lingine la kakhovka mjini Kherson na kulifanya lisiwe na matumizi wakati huohuo tathmini za mlipuko wa crimea jana zinasema watu 60 wamekufa na pilots 100 kujeruhiwa inaweza kuchukua mwaka mzima kurejesha huduma za ndege kama awaliView attachment 2320211
Huduma watazirejesha wengine kwani yeye (Mrusi)atakuwa hayupo.
 
Back
Top Bottom