figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #4,981
Hawa mbwa wanashobo sana inabidi washushiwe kitu kizito cha HIMARS.Belarus wameana kurusha Makombora kutokea Nchini mwao kuja Ukraine. Je, Ukraine ikijibu kurusha Makombora Belarus itakuwa inakosea?
View attachment 2322603
Mbona umechukua foleni ya kiev ha ha ha ha ha ha ha haWarusi wanaikimbia Crimea. Wanarudi kwao Urusi. Tuliwaambia Ukraine sio kwenu hamkusikia. Hii Foleni sasa ni saa 48, haiishi.
View attachment 2322706
Ngoja nikusaidie kuelewa Mjinga wewe. Kyiv ni mji Mkuu wa Ukraine na hakuna Vita inaendelea. Pia Kyiv hakuna Milima wala Mapori ni Magorofa tuMbona umechukua foleni ya kiev ha ha ha ha ha ha ha ha
Warusi wanarudi kwao wakiwa ndani ya Shangazi kazi
View attachment 2322626