Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wanajeshi wa Urusi wapo Izyum wanalalamika. Wanadai wenzao wengi wanakufa bila sababu. Wanasema hawaoni sababu ya msingi ya kuja kupambana Ukraine kwani wengi hawaoni msingi wa vita hata wakiulizwa kwanini wanafia Ukraine hawana sababu. Wanadai wanatumia Silaha za miaka ya 90s kupambana na HIMARS. Tunafanya nini huku? Hii Video ila caption
Your browser is not able to display this video.
 
Wanajeshi Zaidi ya 200 wa Urusi wagoma kwenda kupambana Luhansk. Wanadai hawathaminiwi hawana vifaa. Wao na wake zao wataka warudishwe Makwao. Wamepambana Mariupol hawaoni umuhimu wa hii Vita
Your browser is not able to display this video.
 
Msema kweli ni mpenzi wa mungu. Acha wafe lakini wamesema ukweli
 
Hii ni kinyume na taratibu za Vita.

Jeshi la Urusi limepeleka MRLS zao kwenye Makazi ya watu kisha wanojificha ndani ya nyumba za wanachi.

Hapa Warusi Walikuwa wanashambulia Vikosi vya Ukraine mji wa Jirani. Wanafanya hivyo wakijua Ukraine wakijibu na Silaha nzito Wananchi wasio na hatia watakufa. Urusi wanatumia makazi ya Watu kama ngao. Waje Frontline, wanaogopa nini?
Your browser is not able to display this video.
 
Kikosi cha Mortar kutoka 58th separate motorized infantry brigade wa Ukraine
Your browser is not able to display this video.
 
Hapa ni Makiivka, Mkoani Donetsk. Urusi wamekalia kimabavu mji huu tangu 2014. Leo Maghala ya Urusi yanateketea. Urusi walijua ni kwao.. Donetsk, Crimea na Luhansk zote zitarudi. Ukisikiliza kwa makini, utasikia Milipuko
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…