Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Warusi wanaikimbia Crimea. Wanarudi kwao Urusi. Tuliwaambia Ukraine sio kwenu hamkusikia. Hii Foleni sasa ni saa 48, haiishi.
View attachment 2322706
Hahahaaa. Walijimilikisha nchi ya watu na sasa wenye nchi yao wanaitaka. Hakuna mjadala. Amri ni moja tuu- TOKAAA. 🏃‍♂️ 🏃‍♂️ 🏃‍♂️ 🏃‍♂️
 
Haya maneno yanawachanganya watu, lakini ni kitu kimoja. Збройні сили України (ЗCY) = Zbroini syly Ukrainy(ZSU) = Armed Forces of Ukraine(AFU) = Jeshi la Ukraine. Ndo hawa
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu; Dalili ya mvua ni mawingu. Ukiona migomo ndani ya jeshi pinzan inaanza ujue ule mwisho umekaribia na ushindi ni kwako.
Watu kama hawa ukiwateka watatoa siri nyingi sana. Ila wakirudi hai fashisti atawashughulikia sana.
 
Naona hata Crimea imeingia kwenye 18 zake.
Kherson ikichukuliwa, Crimea ni rahisi kuinyakua. Fashisti atabaki kurusha makombora akiwa kwake ambako ni mbali. HIMARS akitua Crimea Bridge kwisha habari yao, unakuwa umeshakata military supplies. Pia troops zao zitakosa pa kutokea kurudi kwao labda wavuke kwa boat.

Zaidi mtu anaweza kuzamisha kifaru baharini kama alivyofanya mwenzao ili angalau afe kwa maji kuliko moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…