figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #5,021
Hapa ni Donetsk na huyu ni Yuriy Krikulenko. Kaenda na maji. Mwanzilishi wa Russian Spring-2014
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mwamba ana mambo mengi sana. Lakini yote anayamudu
Amegeuzwa kuwa spring 😂😂😂😂😂Hapa ni Donetsk na huyu ni Yuriy Krikulenko. Kaenda na maji. Mwanzilishi wa Russian Spring-2014
View attachment 2323152
Dah! Na hapo ujue hakuna cha mswalie Mtume. Wote hao hakuna mateka atakayesalimika uhai wake kwani hao AZOV lao ni moja tu -Kupasua kichwa. Kwisha.Hawa Wanajeshi wa Urusi walilala. Kuamka wapo Mikonano mwa Azov. Hawakuamini
View attachment 2322702
Naona jamaa wameruka wote na kukimbia. Target imekosea Kidogo. Angekuwepo Drone hapo karibu angewashughulikia ipasavyo.Urusi wamekimbia bila Viatu🤣🤣🤣
View attachment 2323166
Hahahaaa. Walijimilikisha nchi ya watu na sasa wenye nchi yao wanaitaka. Hakuna mjadala. Amri ni moja tuu- TOKAAA. 🏃♂️ 🏃♂️ 🏃♂️ 🏃♂️Warusi wanaikimbia Crimea. Wanarudi kwao Urusi. Tuliwaambia Ukraine sio kwenu hamkusikia. Hii Foleni sasa ni saa 48, haiishi.
View attachment 2322706
Niliambiwa hii ya kulenga mara nyingi huwa inasababishwa na upepo, umbali na motionNaona jamaa wameruka wote na kukimbia. Target imekosea Kidogo. Angekuwepo Drone hapo karibu angewashughulikia ipasavyo.
Safi sana. Sijui huko hayo makombora yanakoenda kutua mtafutano unakuwaje. Nadhani ni balaa tupu-yan ni pata-shika nguo kuchanika. 🏃♂️ 😂 🏃♂️ 😂
Shikamooni wazee wa Morta. Mpeni tuishen huyo Mrusi hadi akili imkae vizuri. Asante sana kwa kazi nzuri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],,,akili nyingii
mwakani alizeti itamea kweli. Hapo wali wa-corner vizuri sana. Drone alihakikisha kuwa kila Chmonya anakuwa mboleaUdongo wa Ukraine ulivyopata mbolea ya Urusi
View attachment 2323173
Mkuu; Dalili ya mvua ni mawingu. Ukiona migomo ndani ya jeshi pinzan inaanza ujue ule mwisho umekaribia na ushindi ni kwako.Kikosi cha Urusi cha 3rd rifle battalion nacho kimegoma kuendelea kupambana Ukraine
View attachment 2322788
Watu kama hawa ukiwateka watatoa siri nyingi sana. Ila wakirudi hai fashisti atawashughulikia sana.Mkuu; Dalili ya mvua ni mawingu. Ukiona migomo ndani ya jeshi pinzan inaanza ujue ule mwisho umekaribia na ushindi ni kwako.
Naona hata Crimea imeingia kwenye 18 zake.Huyu mwamba ana mambo mengi sana. Lakini yote anayamudu
Kherson ikichukuliwa, Crimea ni rahisi kuinyakua. Fashisti atabaki kurusha makombora akiwa kwake ambako ni mbali. HIMARS akitua Crimea Bridge kwisha habari yao, unakuwa umeshakata military supplies. Pia troops zao zitakosa pa kutokea kurudi kwao labda wavuke kwa boat.Naona hata Crimea imeingia kwenye 18 zake.
Dah, hii nomaHawa Wanajeshi wa Urusi walilala. Kuamka wapo Mikonano mwa Azov. Hawakuamini
View attachment 2322702