North Korea ataleta wafungwa waje piganaHakuna kitu Marekani ilikuwa inatamani kama hiki.North Korea imetoa Wanajeshi 100,000 kuisaidia Urusi kwenye Vita vya Ukraine. Kati ya hao 50,000 ni Wajenzi. Wanataka wakajenge Miundombinu ya Mariupol.
Marekani itafanya juu chini japo kuteka Wanajeshi 2000 kati ya hao ili ipate Siri za Korea. Hawa Jamaa waligoma kushiriki vita yoyote. Sasa waneingia 18
View attachment 2322644
SafiKikosi cha 93rd brigade kikiwawinda Warusi
View attachment 2322648
Akiwateka dawa yao ni sumu tuHakuna kitu Marekani ilikuwa inatamani kama hiki.North Korea imetoa Wanajeshi 100,000 kuisaidia Urusi kwenye Vita vya Ukraine. Kati ya hao 50,000 ni Wajenzi. Wanataka wakajenge Miundombinu ya Mariupol.
Marekani itafanya juu chini japo kuteka Wanajeshi 2000 kati ya hao ili ipate Siri za Korea. Hawa Jamaa waligoma kushiriki vita yoyote. Sasa waneingia 18
View attachment 2322644
Walilala kama ponoHawa Wanajeshi wa Urusi walilala. Kuamka wapo Mikonano mwa Azov. Hawakuamini
View attachment 2322702
Anaomba mpk South Africa, uganda, Egypt na Iran. Aibu y miakaAIBU: Urusi ilikuwa inajidai ina jeshi kubwa, ina jeshi imara, Nchi ndogo kama Ukraine imewamaliza Wanajeshi wa Urusi hadi sasa inaomba Misaada ya kijeshi kutoka Korea, Syria Belarus nk. Nchi Tajiri inaombaomba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Tuliwaambia hii vita Urusi hatoboi.
View attachment 2322759
Akili zimeanza kuwakaa swWanajeshi wa Urusi wapo Izyum wanalalamika. Wanadai wenzao wengi wanakufa bila sababu. Wanasema hawaoni sababu ya msingi ya kuja kupambana Ukraine kwani wengi hawaoni msingi wa vita hata wakiulizwa kwanini wanafia Ukraine hawana sababu. Wanadai wanatumia Silaha za miaka ya 90s kupambana na HIMARS. Tunafanya nini huku? Hii Video ila caption
View attachment 2322773
Mpk masikio yatoke damuWanajeshi Zaidi ya 200 wa Urusi wagoma kwenda kupambana Luhansk. Wanadai hawathaminiwi hawana vifaa. Wao na wake zao wataka warudishwe Makwao. Wamepambana Mariupol hawaoni umuhimu wa hii Vita
View attachment 2322780
Hahahaaa wamepagawaHii ni kinyume na taratibu za Vita.
Jeshi la Urusi limepeleka MRLS zao kwenye Makazi ya watu kisha wanojificha ndani ya nyumba za wanachi.
Hapa Warusi Walikuwa wanashambulia Vikosi vya Ukraine mji wa Jirani. Wanafanya hivyo wakijua Ukraine wakijibu na Silaha nzito Wananchi wasio na hatia watakufa. Urusi wanatumia makazi ya Watu kama ngao. Waje Frontline, wanaogopa nini?
View attachment 2323115
Azov ni nooooomaMpambanaji wa Azov akiwashikisha adabu Warusi huko Donetsk
View attachment 2323117
Hahahaaa wanajitekenyaAngalia behind the scenes ya wana propaganda wa Urusi. Hapa ni Donetsk wakitengeneza Video za kupost kwenye TV na Magroup ya Urusi
View attachment 2323148
Hali ni teteUrusi wamekimbia bila Viatu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2323166
Sawa sawaHaya maneno yanawachanganya watu, lakini ni kitu kimoja. Збройні сили України (ЗCY) = Zbroini syly Ukrainy(ZSU) = Armed Forces of Ukraine(AFU) = Jeshi la Ukraine. Ndo hawa
View attachment 2323186
Hiyo ni akili matope. Yaani mtu ana stress za kufungwa unategemea akapigane tena siyo nchi yake. Hata ingekuwa nchi yake hawezi.North Korea ataleta wafungwa waje pigana
Hii ni howitzer. Tuwaite wazee wa howitzers💪Shikamooni wazee wa Morta. Mpeni tuishen huyo Mrusi hadi akili imkae vizuri. Asante sana kwa kazi nzuri.
Hata hivyo ni step ahead. Maana sasa hivi wamebaki kujilinda badala ya kusonga mbele. Makombora mawili yaliyotua ni ishara nzuri kuwa wapambanaji wanaupiga mwingi.Hili ni daraja la Antonovskiy. Tusubiri kuona uharibifu.. Jana ilikuwa liondoke lote kukata Mawasiliano ya Crimea na Kherson. Tuaturudi tena.
View attachment 2323535
Na watakaokubali kwenda, wafahamu fika kwamba wembe ni uleule ulomnyoa Mrusi Original.Anaomba mpk South Africa, uganda, Egypt na Iran. Aibu y miaka
sawa mkuu; Asante.Hii ni howitzer. Tuwaite wazee wa howitzers💪