Wakishavaa combat za urusi, Wajue itakuwa ni vigumu kutambua yupi ni mfungwa na yupi askari wa kweli. Kwa mantiki hiyo Kazi itakuwa ni moja tu - wote watanyweshwa dawa. Labda wajiongeze wakifika frontline kazi yao iwe ni kujisalimisha chap.North Korea ataleta wafungwa waje pigana
Kapata akili hiyo baada ya kupuliza bangi. Yule jamaa akili yake haiko sawa. Akivuta bangi lake anakuwa na mikwala mbuzi hadi kwa mbabe kama US. 😂😂😂🏃♂️🏃♂️🏃♂️Wakishavaa combat za urusi, Wajue itakuwa ni vigumu kutambua yupi ni mfungwa na yupi askari wa kweli. Kwa mantiki hiyo Kazi itakuwa ni moja tu - wote watanyweshwa dawa. Labda wajiongeze wakifika frontline kazi yao iwe ni kujisalimisha chap.
Hivi naomba kuuliza: Taratibu za kivita kimataifa zinasemaje kuhusu Haki ya kuwapeleka wafungwa vitani?
North Korea nae ni chizi fulani. Akili ya kupunguza idadi ya wafungwa waliofurika magerezani kwake cjui kai-copy wapi na anai-paste vita ya Ukraine ambayo ni vita ya ukombozi.
Ngoja anyweshwe kikombe cha Babu labda akili itatulia.Kapata akili hiyo baada ya kupuliza bangi. Yule jamaa akili yake haiko sawa. Akivuta bangi lake anakuwa na mikwala mbuzi hadi kwa mbabe kama US. 😂😂😂🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Hivi kwani hilo daraja la Antonoviskiy nani amelishughulikia? Mm nilidhani ni Wazee wa HIMARS.Hakuna kitu kibaya kama kumiss kitu unachokipenda. Nime-miss sana hit za HIMARS, kila nikichungulia humu zaidi ya wiki sasa sioni scrapers alizozichakaza HIMARS.
Au HIMARS wetu hawajapata mnuso wakauchangamkia. 😂😂😂
figganigga niletee kazi ya HIMARS wetu.
Kwa mujibu wa figganigga hilo daraja jana limeshughulikiwa na M270 MLRS. Akaongeza kwa kusema ingekuwa HIMARS lingeshuka chini. Hata yale maghala ya silaha Donetsk yameshughulikiwa na M270 MLRSHivi kwani hilo daraja la Antonoviskiy nani amelishughulikia? Mm nilidhani ni Wazee wa HIMARS.
Tusubiri Taarifa na huenda Roho yako ikasuuzika ila scrapers za darajani upatikanaji wake ni mgumu kidogo.
Ok. Tuvute subira mkuu. Yajayo yanafurahishaKwa mujibu wa figganigga hilo daraja jana limeshughulikiwa na M270 MLRS. Akaongeza kwa kusema ingekuwa HIMARS lingeshuka chini. Hata yale maghala ya silaha Donetsk yameshughulikiwa na M270 MLRS
Hichi kitu niliota jana usiku, niliona vifaru vya mrusi katika kati ya watu halafu mapambano yalikuwa makali sana.Hii ni kinyume na taratibu za Vita.
Jeshi la Urusi limepeleka MRLS zao kwenye Makazi ya watu kisha wanojificha ndani ya nyumba za wanachi.
Hapa Warusi Walikuwa wanashambulia Vikosi vya Ukraine mji wa Jirani. Wanafanya hivyo wakijua Ukraine wakijibu na Silaha nzito Wananchi wasio na hatia watakufa. Urusi wanatumia makazi ya Watu kama ngao. Waje Frontline, wanaogopa nini?
View attachment 2323115
Hakuna kitu kibaya kama kumiss kitu unachokipenda. Nime-miss sana hit za HIMARS, kila nikichungulia humu zaidi ya wiki sasa sioni scrapers alizozichakaza HIMARS.
Au HIMARS wetu hawajapata mnuso wakauchangamkia. [emoji23][emoji23][emoji23]
figganigga niletee kazi ya HIMARS wetu.
Kwa mara ya Kwanza Urusi wamekubali kupigwa na Himars
Wagner Wamepasuka tena.
Walipost picha , jamaa wa ukrained wakazigeolocate hizo picha kisha wakawashushia mvua ya chuma ta HIMARS
KABLA YA SHAMBULIO.
View attachment 2324140View attachment 2324139View attachment 2324141
BAADA YA SHAMBULIO
View attachment 2324143View attachment 2324142
Weeeee, Picha waitoe wapi?Wale Pro Russia walikuwa wanasema eti Drones za Iran zinawatesa Ukraine. Mbona hawajawahi kutupia hata ka picha kamoja.
Naombeni pro Russia mtuwekee hapa hata kama ni ka picha ka kubumba.
Penye nia pana njia. Ngojea Wazee wa HIMARS watafakari kidogo halafu nsikizie kipondo chake.Kuondoa hayo madaraja yahitajika payload kubwa, zaidi ya Tani 10 za explosives
👏👏👏👏Umenipa furaha kwa kweli. Hatimaye HIMARS niliye-miss amepatikana alipo na anachokifanya. HIMARS kashoondoka eneo la tukio kaacha mizoga.
Wagner Wamepasuka tena.
Walipost picha , jamaa wa ukrained wakazigeolocate hizo picha kisha wakawashushia mvua ya chuma ta HIMARS
KABLA YA SHAMBULIO.
View attachment 2324140View attachment 2324139View attachment 2324141
BAADA YA SHAMBULIO
View attachment 2324143View attachment 2324142
Safari hii hawajabisha. 😂😂😂😂Kwa mara ya Kwanza Urusi wamekubali kupigwa na Himars
Naam! Wameamua kwa busara sana maana Timbwili la Waukraine na HIMARS zao ni la viwango vya juu mno kiasi kwamba majeshi ya Mrusi wao wanaemtegemea hayawezi kufua dafu.Kuna watu wameamua kukimbia Kherson
Mh! Mjinga kweli. Ataamini hapo watakapompasua kuondoa tope kichwani.Mrusi haamini yupo chini ya Ulinzi🤣🤣
View attachment 2324676