OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Wakishavaa combat za urusi, Wajue itakuwa ni vigumu kutambua yupi ni mfungwa na yupi askari wa kweli. Kwa mantiki hiyo Kazi itakuwa ni moja tu - wote watanyweshwa dawa. Labda wajiongeze wakifika frontline kazi yao iwe ni kujisalimisha chap.North Korea ataleta wafungwa waje pigana
Hivi naomba kuuliza: Taratibu za kivita kimataifa zinasemaje kuhusu Haki ya kuwapeleka wafungwa vitani?
North Korea nae ni chizi fulani. Akili ya kupunguza idadi ya wafungwa waliofurika magerezani kwake cjui kai-copy wapi na anai-paste vita ya Ukraine ambayo ni vita ya ukombozi.