figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #5,101
Tuwekee content Mkuu, ukiweka link, zinafutwa au account zikiwa Suspended tunakosa kumbukumbu
Huko crimea tena kimewaka. Ghala la silaha la mrusi limelipuka huko Maisk'e village. Ministry of Defense ya Russia wanasema imesababishwa na moto
Shukrani mkuu next time nitafanya hivyo. Kale kavideo bot ka kudownload twitter kamenigomea leoTuwekee content Mkuu, ukiweka link, zinafutwa au account zikiwa Suspended tunakosa kumbukumbu
LeAirbase yenyewe hii hapa. Hamna kilichosalia.. Ni majivu tu
View attachment 2325405
Nawashangaa.Hiyo mioto inajilipua tokea vita ianze tu?
Hawa jamaa bhana; Hawataki au hawathubutu kuitaja HIMARS kwa sababu wakiitaja tu, wanajiharishia.πππ Tunakubaliana nao kuwa imesababishwa na moto wa HIMARS
Sijaona mzoga .Vipande vya risasi vinaonekana barabarani karibia na airbase Crimea. Hii inaonesha Urusi wamepoteza sana..
View attachment 2325400
Safi sana. Hadi akione cha mtema kuni.***** peleka moto. Tutaangamiza hata panya wa Urusi habaki mtu
Le
Pro Russia hawachelewi kusema hiyo ni video ya mabomu ya Gongo la Mboto ππππLeo Ukraine wameendelea kukinukisha Crimea. Hii kwa leo inatosha, si kwa maafa haya. Ghala kubwa la Silaha na risasi za Mrusi huko Crimea zimekwenda na maji. Sasa watafanyaje? Wafuasi wa Ukraine toshekeni.. Haya ni maangamizi makubwa, sione sababu ya kuendelea kupost leo. Tujipumzishe tuongalie hizi footages
View attachment 2325396
ππππππ HIMARS akitua hata mafuvu huoni.Airbase yenyewe hii hapa. Hamna kilichosalia.. Ni majivu tu
View attachment 2325405
Duh! Utadhani ni Boma (a.k.a Sanzu ) la siku nyingi la kuhifadhia mifugo mnadani.Airbase yenyewe hii hapa. Hamna kilichosalia.. Ni majivu tu
View attachment 2325405
Isanzuu. Agayaa ππππββοΈπββοΈπββοΈπββοΈDuh! Utadhani ni Boma (a.k.a Sanzu ) la siku nyingi la kuhifadhia mifugo mnadani.
Hahahahaaaa: Mrusi amebakiwa na jino moja tu. Liking'olewa hilo ataitwa KIBOGOYO.Isanzuu. Agayaa ππππββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Atakayesema hivyo ujue dish limeyumba.Pro Russia hawachelewi kusema hiyo ni video ya mabomu ya Gongo la Mboto ππππ